Tazama hapa Hiphop freestyle ya wanamuziki wa Congo. This is a pure talent.

Congo na hip-hop wapi na wapi?
Hujui muziki wewe. Mwaka 1999 kundi la muziki wa Hiphop kutoka Congo, Biso na Biso (BNB group) lilishinda tuzo tatu za Kora, best arrangement, best group na best video clip. Kumbuka Kora ndo zilikuwa tuzo kubwa zaidi za muziki kwa Afrika. Wakali wote walikuwa wanakutanika hapo. Mgeni rasmi kwenye Kora 1999 alikuwa hayati Nelson Mandela na hayati Michael Jackson alihudhuria pia.
 
Nyau nyau tu mwanzo mwisho Congo na hip hop wapi na wapi
Hujui muziki wewe. Mwaka 1999 kundi la muziki wa Hiphop kutoka Congo Biso na Biso (BNB group) lilishinda tuzo tatu za Kora, best arrangement, best group na best video clip. Kumbuka Kora ndo zilikuwa tuzo kubwa zaidi za muziki kwa Afrika. Wakali wote walikuwa wanakutanika hapo. Mgeni rasmi kwenye Kora 1999 alikuwa hayati Nelson Mandela na hayati Michael Jackson alihudhuria pia.
 
Unawazungumzia wale marappa wa MAKOMA
 
Back
Top Bottom