MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui muziki wewe. Mwaka 1999 kundi la muziki wa Hiphop kutoka Congo, Biso na Biso (BNB group) lilishinda tuzo tatu za Kora, best arrangement, best group na best video clip. Kumbuka Kora ndo zilikuwa tuzo kubwa zaidi za muziki kwa Afrika. Wakali wote walikuwa wanakutanika hapo. Mgeni rasmi kwenye Kora 1999 alikuwa hayati Nelson Mandela na hayati Michael Jackson alihudhuria pia.Congo na hip-hop wapi na wapi?
Hujui muziki wewe. Mwaka 1999 kundi la muziki wa Hiphop kutoka Congo Biso na Biso (BNB group) lilishinda tuzo tatu za Kora, best arrangement, best group na best video clip. Kumbuka Kora ndo zilikuwa tuzo kubwa zaidi za muziki kwa Afrika. Wakali wote walikuwa wanakutanika hapo. Mgeni rasmi kwenye Kora 1999 alikuwa hayati Nelson Mandela na hayati Michael Jackson alihudhuria pia.Nyau nyau tu mwanzo mwisho Congo na hip hop wapi na wapi
Unawazungumzia wale marappa wa MAKOMAHujui muziki wewe. Mwaka 1999 kundi la muziki wa Hiphop kutoka Congo Biso na Biso (BNB group) lilishinda tuzo tatu za Kora, best arrangement, best group na best video clip. Kumbuka Kora ndo zilikuwa tuzo kubwa zaidi za muziki kwa Afrika. Wakali wote walikuwa wanakutanika hapo. Mgeni rasmi kwenye Kora 1999 alikuwa hayati Nelson Mandela na hayati Michael Jackson alihudhuria pia.
Hapana. Hao ni wengineUnawazungumzia wale marappa wa MAKOMA
[emoji16][emoji23] Acha ubishiCongo na hip-hop wapi na wapi?
Hapo sijaona chochote kizuri kuhusu hip-hop ninasikia Tu nyaunyau labda shabiki zao Panya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muziki unawatii hawa viumbe. Wameshindikana.