Tazama hapa pensheni ya ustaafu ya Rais wa Kenya

Tazama hapa pensheni ya ustaafu ya Rais wa Kenya

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Salaam Wakuu,

Kweli Urais sio jambo la kitoto. tazama hapa malupulupu anayopata Rais wa Kenya akiondoka madarakani.

1659340273531.png
malupulupu ya ustaafu kwa Rais wa Kenya
 
Anapata yote hii na bado anauchu wa mali za nchi, uroho wa mengine mengi.
 
Nyerere aliziacha wapi ?alizipokea,walinzi,wapishi,wasaidizi,magari,nyumba,bima ya afya,nenda msasani uone
Wewe ninahisi wakati anastahafu 1984 ulikua hujazaliwa au bado ulikua bado ni mchanga unanyonya, uliza wakubwa zako watakuambia zawadi za mifugo, tractors na vitu vingine lukuki alizopewa na watanzania Kama alizichukua

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Unaongelea zawadi,umeona hapo kenyata kapewa zawadi,hizo ni stahiki muhimu kwa mstaafu zipo kisheria,nyerere anastaafu niikuwa kijana nimetoka balekhe
 
Kwa marupurupu haya, mtu anaweza kumwomba Dokta amwahirishie kifo kisimtembelee.
 
Back
Top Bottom