Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
Then unaziacha baada ya mda ukiondoka duniani
Hiyo ni safari ya kila mtu ukiwepo wewe! Haina tajiri wala maskini, kama walivyoondoka akina Mengi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Then unaziacha baada ya mda ukiondoka duniani
True but tusijisahau kuukimbiza upepo na kuacha kusudio la kuja duniani.Hiyo ni safari ya kila mtu ukiwepo wewe! Haina tajiri wala maskini, kama walivyoondoka akina Mengi!
Hivi unasema kweli mkaldayo?Ndogo sana kwa Mtu kama Uhuru.
Mradi wao tu wa real estate unaitwa North land una thamani ya Tshs. Trilioni sita
Ngoja wabunge wa kupiga meza waione hii then tusubiri next bunge season!.View attachment 2310806malupulupu ya ustaafu kwa Rais wa Kenya