Tazama hapa pensheni ya ustaafu ya Rais wa Kenya

Tazama hapa pensheni ya ustaafu ya Rais wa Kenya

Salaam Wakuu,

Kweli Urais sio jambo la kitoto. tazama hapa malupulupu anayopata Rais wa Kenya akiondoka madarakani.

View attachment 2310806malupulupu ya ustaafu kwa Rais wa Kenya
Kwakuwa yeye ni mtumishi wa kwenda kuishi baada ya ustaafu wake
Wengine ni watumishi wa kwenda kufa baada ya kustaafu
 
Kwa aliyewahi kuona mchanganuo wa pension ya President wa Tz, atupe vihints tuone
 
Then unaziacha baada ya mda ukiondoka duniani
Hahah, mkuu vizazi vyake vitakulaaa. Unadhani JMK kwa mali alizonazo zitaisha leo, atakufa na vizazi vyake vitakula, watu wanatengeneza empire, nikisema empire naamini unaelewa nini namaanisha.
 
Tumuombe Mungu atujalie afya njema, inawezekana ukapewa utajiri wa kutisha na chakula chako mwenyewe kikakosa chumvi, sukari n.k
 
Halafu namba hizo zote zidisha na 20 ili upate hela ya Tanzania.

1 KSH is about 20 TZS.
 
Walamba asali, kizazi cha wapigania UHURU
 
Unaongelea zawadi,umeona hapo kenyata kapewa zawadi,hizo ni stahiki muhimu kwa mstaafu zipo kisheria,nyerere anastaafu niikuwa kijana nimetoka balekhe
Mali ni Mali, iwe ni stahiki za kisheria au umepewa kama zawadi, ukitaka kuwasaidia watu huchagui umeipataje. Kwanza Nyerere hakuwa tajiri Kama Uhuru Kenyatta, alikua ni masikini Sana, alikua na kila sababu ya kuzichukua zile Mali ili zimsaidie kwasababu hapakua na Sheria ya marupurupu ya rais mstaafu Kama ilivyo Sasa hivi, lakini aliamua kutozichukua, vipi jitu Kama Uhuru Kenyatta ambaye baba yake alishaibia wakenya na kuachiwa utajiri mkubwa lakini hataki kuwasaidia wananchi masikini?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kenyata family ni tajiri sababu mzee jomo.ni kweli aliibia watu wake hasa ardhi,ila kusema nyerere alikuwa masikini sio kweli,alipata alichohitaji huo ndio utajiri wenyewe
 
Back
Top Bottom