Tazama hapa pensheni ya ustaafu ya Rais wa Kenya

Anapata yote hii na bado anauchu wa mali za nchi, uroho wa mengine mengi.
 
Nyerere aliziacha wapi ?alizipokea,walinzi,wapishi,wasaidizi,magari,nyumba,bima ya afya,nenda msasani uone
Wewe ninahisi wakati anastahafu 1984 ulikua hujazaliwa au bado ulikua bado ni mchanga unanyonya, uliza wakubwa zako watakuambia zawadi za mifugo, tractors na vitu vingine lukuki alizopewa na watanzania Kama alizichukua

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Unaongelea zawadi,umeona hapo kenyata kapewa zawadi,hizo ni stahiki muhimu kwa mstaafu zipo kisheria,nyerere anastaafu niikuwa kijana nimetoka balekhe
 
Kwa marupurupu haya, mtu anaweza kumwomba Dokta amwahirishie kifo kisimtembelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…