Maulaga59 JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 2,984 Reaction score 2,971 Aug 1, 2022 #41 Kalunya said: Then unaziacha baada ya mda ukiondoka duniani Click to expand... Hiyo ni safari ya kila mtu ukiwepo wewe! Haina tajiri wala maskini, kama walivyoondoka akina Mengi!
Kalunya said: Then unaziacha baada ya mda ukiondoka duniani Click to expand... Hiyo ni safari ya kila mtu ukiwepo wewe! Haina tajiri wala maskini, kama walivyoondoka akina Mengi!
Sir John Roberts JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 12,835 Reaction score 23,584 Aug 1, 2022 #42 Watanzania tujifunze kutoka kwa majirani siyo mnapiga kelele hovyoo
Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,322 Reaction score 18,609 Aug 2, 2022 #43 Maulaga59 said: Hiyo ni safari ya kila mtu ukiwepo wewe! Haina tajiri wala maskini, kama walivyoondoka akina Mengi! Click to expand... True but tusijisahau kuukimbiza upepo na kuacha kusudio la kuja duniani.
Maulaga59 said: Hiyo ni safari ya kila mtu ukiwepo wewe! Haina tajiri wala maskini, kama walivyoondoka akina Mengi! Click to expand... True but tusijisahau kuukimbiza upepo na kuacha kusudio la kuja duniani.
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Aug 6, 2022 #44 platozoom said: Ndogo sana kwa Mtu kama Uhuru. Mradi wao tu wa real estate unaitwa North land una thamani ya Tshs. Trilioni sita Click to expand... Hivi unasema kweli mkaldayo?
platozoom said: Ndogo sana kwa Mtu kama Uhuru. Mradi wao tu wa real estate unaitwa North land una thamani ya Tshs. Trilioni sita Click to expand... Hivi unasema kweli mkaldayo?
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Aug 6, 2022 #45 Suley2019 said: View attachment 2310806malupulupu ya ustaafu kwa Rais wa Kenya Click to expand... Ngoja wabunge wa kupiga meza waione hii then tusubiri next bunge season!.
Suley2019 said: View attachment 2310806malupulupu ya ustaafu kwa Rais wa Kenya Click to expand... Ngoja wabunge wa kupiga meza waione hii then tusubiri next bunge season!.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Aug 6, 2022 #46 Kibongobongo kama bei gani Ova