Tazama harusi ya kigogo wa CHADEMA, Henry Kilewo alivyofunga ndoa na Joyce Kiria

Amen....
 
Huo mchakato wa Kanisa wa kutoa Talaka mchakato wake unaainishwa na aya gani ?.....toa ushahidi ?
Unaujua utaratibu/mchakato wa dini nyingine wa kutoa Talaka ?....au kuropoka ?

Mbona unatokwa povu, au umejistukia? Maana hata dini yenyewe sikuitaja.
 
Ninachojua mie kuwa ni Roman Catholic pekee ndio kuna mziki wa sheria.....kwingine zinarekebishika....Naomba kurekebishwa kama nimekosea.
 
Nawapongeza Henry na Joyce kwan mmlifanya yapasayo kufanywa. Ndoa ni yenu wala si ya watu kibaaao. Mwisho unaishia kukwepa madeni
 
katimiza mawili kati ya matatu muhimu ktk maisha haya,hongera na karibu ktk chama cha wake halali wa ndoa
 
Hongereni xana bw. Kilewo bila shaka wewe ni MPARE ubahili ni mila yenu ( samahani nna maana wachumi)
Michango ya harusi inatesa wengi fikiri una kadi 5 au hadi 10 kwa wkt mmoja na kiwango cha chini 50,000 inakuaje ili hali wewe si mwizi si fisadi na mahitaji ya kawaida na karo za shule usipime
.Joyce umejikomboa kifikra mbarikiwe.
 
Ameruhusiwa kufunga ndoa kanisani sababu joyce ameshafunga ndoa nyingine ndio maana wamebatilisha ndoa huwa hawavunji wanasema ndoa batili
 
Ameruhusiwa kufunga ndoa kanisani sababu joyce ameshafunga ndoa nyingine ndio maana wamebatilisha ndoa huwa hawavunji wanasema ndoa batili

Mtahangaikana na viswahili viiingi, ila wenye busara zao wanaelewa !
Batili kinyume chake ni haki, neno lenyewe limetoholewa katika neno la Kiarabu 'batwil'. Sasa hiyo ndoa ya kwanza haikuwa ya haki pale ilipokuwa inafungwa Kanisani ?
 
neno......
 
Ninachojua mie kuwa ni Roman Catholic pekee ndio kuna mziki wa sheria.....kwingine zinarekebishika....Naomba kurekebishwa kama nimekosea.

Sio roman hata kkkt na anglican sijui makanisa ya wokovu ila kwa haya madhebu yetu huwa hawavunji ndoa bali hubatilisha ndoa na mahakama ndio inavunja ndoa tena sababu kuu kama mmoja wa wanandoa amefunga ndoa nyingine bomani au amebadili dini ndio ubatilisha.
Pia kuna process ndefu sana mpaka ubatilisha ndoa inaweza chukua hata mwaka
 
Mtahangaikana na viswahili viiingi, ila wenye busara zao wanaelewa !
Batili kinyume chake ni haki, neno lenyewe limetoholewa katika neno la Kiarabu 'batwil'. Sasa hiyo ndoa ya kwanza haikuwa ya haki pale ilipokuwa inafungwa Kanisani ?

Tatizo lako udini unauweka mbele ndoa imekuwa batili sababu mwanandoa mmoja anamiliki ndoa mbili ya kanisani na bomani
 
Ni kweli kabisa Manka....linapokuja suala la wedding.....sisi watu tunaosunguka mlima mrefu huwa hatucheki kabisa na kima....ni pati la kufa mtu... Ila sasa......mambo si yametikiswa kidogo....si unajua tena mambo yetu ya kisiasa haya......... Na sio kwamba ndugu walisuzia.....na hata kama walisuzia........si tumeshakwambia huyu ni kigogo wa chama...si ilikuwa ishu tu ya kuingisa beleshi pale kapuni na kuchota pwaaa...arusi ingeenda kufanyika pale sheratoni....tatiso si yule kijana mzaliti anafuatilia mambo ya rusuku na matumisi utasani pesa ni sa babake...........tumeshamchimba biti ila sijui kama atatuacha kichwa ngumu yule...... na pia......Kwani msee wetu wa fitalukesi (VITALU GESI) angeamua tu si angesimamia mcheso msima mwanso mwisho, unafikiri hiyo aruzi nani angekusa hapa mjini.......ni sababu sa kisiasa tu nasisitisa tena...... Na huyu Sito huyu.....ipo siku tu......mwache aendelee na huo ujinga....
 
Kubariki ndoa sio sawa na kufunga ndoa, yeye amebariki kutoka ndoa ya bomani to kanisani so asijishaue mara uwezo ninao wa kufanya sherehe kubwa ubariki wa ndoa haunogi
 
Samahanini jamani Mie nipo huku URU kishumundu hata sielewi kitu mwenye kuelewa naombeni msaada babaangu... ETI N' NINI MAANA YA MTU KUITWA JINA KIGOGO??
 
Ninachojua mie kuwa ni Roman Catholic pekee ndio kuna mziki wa sheria.....kwingine zinarekebishika....Naomba kurekebishwa kama nimekosea.

Sheria zilizo mafundisho ya wanadamu si kitu cha kujivunia sana. Huko unakosifia ndio kuna makumi kwa maelfu ya marekebisho ya sheria ya Mungu. Standard pekee ni biblia takatifu. Wote wanapaswa kuenenda katika hiyo. Nje ya hapo si neno la Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…