Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,650
Uasherati ni nini?
Yeye kauliza neno 'isipokuwa' na wewe badala ya kujibu unauliza ' uasherati' !
Vipi Mgala Nyenyere ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uasherati ni nini?
Hebu tuwe serious. Kwa mfano binti kama huyo, mumewe alikuwa labda mzinzi ama anampiga, na wakaachana. Hivi kiimani tunategemea hatokaa aolewe tena ama hata kupata watoto kwa sababu ya dhambi ya mumewe? Tunaokolewa kwa neema, kwa njia ya imani. Ndo maana nampenda Mungu wa rehema na neema
Uasherati ni nini?
Huo mchakato wa Kanisa wa kutoa Talaka mchakato wake unaainishwa na aya gani ?.....toa ushahidi ?
Unaujua utaratibu/mchakato wa dini nyingine wa kutoa Talaka ?....au kuropoka ?
hongera kamanda, ila neno kigogo pls lingetoka muache maccm yajiite hivyo
[h=5]![]()
"MAELEZO YANGU HAYA YATAONDOA UTATA WOTE NA HOPE MTANIELEWA"
Kiruuuuuuuuuuuuuuuu wananchi wenye hasira kali angalieni msinitoe roho!
Kwa yeyote niliyemkwaza anisamehe bureeee..
Wacha niwape uzoefu-
![]()
1. Ndoa ya kwanza nilichangisha kama UTAMADUNI wa wengi kwenye jamii yetu...
Lakini Pamoja na michango tena mingi, tuliingia gharama zetu kubwa sana, na kama haitoshi tulikopa. Baada ya
shughuli tulianza KUPIGA MIAYO YA NJAA hatuna ela na madeni juu..binafsi nilijuta sana lakini siku zote
MAJUTO ni Mjukuu...(siku isiyokuwa na jina Ndoaikasambaratikia****)
![]()
2. Ndoa ya pili.(BOMANI/SERIKALINI)Mungu akanikutanisha na Henry Kilewo anaejua nini maana ya Mke,
anaeniheshimu na kunitunza, anaenipenda na kunijali.
Henry akaandaa sherehe NDOGO SANA ndugu jamaa na marafiki WACHACHE sana, kwa GHARAMA ZAKE.
Mume wangu Henry Hakusumbua mtu yeyote. Baada ya lile tukio wala hatukupata ile adha ya madeni na kuishiwa
pesa kabisa ndani. Tukaendelea na maisha matamu kwa Upendo na Uaminifu mpaka sasa.
[/h]TAZAMA HARUSI YA KIGOGO WA CHADEMA, HENRY KILEWO ALIYEFUNGA NDOA NA JOYCE KIRIA .... KIRIA AANIKA SIRI NZITO YA NDOA YAO HADHARANI .... SOMA ZAIDI - Niaje Tanzania.....!!
.......Hata mie nashangaa, ninavyojua ukishafunga ndoa kanisani huwa hakuna talaka.
Talaka inatolewa mahakamani na sio kanisani.
Labda kama mmoja wapo afe, ndipo utafunga tena ndoa ya kanisa.
Ndio maana mwanzo waliamua kufunga ndoa serikalini, sababu kanisa halikukubali.
Nashangaa tena inakuwaje wamerudi kanisani. Ila ndio makanisa ya kidoti.com.
Mbona unatokwa povu, au umejistukia? Maana hata dini yenyewe sikuitaja.
Ameruhusiwa kufunga ndoa kanisani sababu joyce ameshafunga ndoa nyingine ndio maana wamebatilisha ndoa huwa hawavunji wanasema ndoa batili
neno......kama ndoa ya kwanza ilikugharimu ni sawa kwa hii ukasahihisha makosa maana ni ndoa ya pili. Inakuwa vigumu wa wale wanaofanya ndoa ya kwanza maana si rahisi kuwa na ya pili. Sikumbuki kuona watu wanaachana na kuwa na ndoa nyingine kubwa maana ungelazimika kuchangisha watu wale wale walioshiriki ile ya awali. Je wangechanga?
Ninachojua mie kuwa ni Roman Catholic pekee ndio kuna mziki wa sheria.....kwingine zinarekebishika....Naomba kurekebishwa kama nimekosea.
Mtahangaikana na viswahili viiingi, ila wenye busara zao wanaelewa !
Batili kinyume chake ni haki, neno lenyewe limetoholewa katika neno la Kiarabu 'batwil'. Sasa hiyo ndoa ya kwanza haikuwa ya haki pale ilipokuwa inafungwa Kanisani ?
Ni kweli kabisa Manka....linapokuja suala la wedding.....sisi watu tunaosunguka mlima mrefu huwa hatucheki kabisa na kima....ni pati la kufa mtu... Ila sasa......mambo si yametikiswa kidogo....si unajua tena mambo yetu ya kisiasa haya......... Na sio kwamba ndugu walisuzia.....na hata kama walisuzia........si tumeshakwambia huyu ni kigogo wa chama...si ilikuwa ishu tu ya kuingisa beleshi pale kapuni na kuchota pwaaa...arusi ingeenda kufanyika pale sheratoni....tatiso si yule kijana mzaliti anafuatilia mambo ya rusuku na matumisi utasani pesa ni sa babake...........tumeshamchimba biti ila sijui kama atatuacha kichwa ngumu yule...... na pia......Kwani msee wetu wa fitalukesi (VITALU GESI) angeamua tu si angesimamia mcheso msima mwanso mwisho, unafikiri hiyo aruzi nani angekusa hapa mjini.......ni sababu sa kisiasa tu nasisitisa tena...... Na huyu Sito huyu.....ipo siku tu......mwache aendelee na huo ujinga....Nilishakuwa mwandishi wa habari kusema mume aliandaa sherehe ndogo ya watu wachache sana ni uwongo kwa wachagga. Wachaga harusi ni issue kubwa Useme hivi "ndugu na marafiki waliiisusia hiyo harusi na waligoma kuchanga hivyo zigo likamwangukia mume peke yake"!!! Usilete uwongo.
Ni kweli kabisa Manka....linapokuja suala la wedding.....sisi watu tunaosunguka mlima mrefu huwa hatucheki kabisa na kima....ni pati la kufa mtu... Ila sasa......mambo si yametikiswa kidogo....si unajua tena mambo yetu ya kisiasa haya......... Na sio kwamba ndugu walisuzia.....na hata kama walisuzia........si tumeshakwambia huyu ni kigogo wa chama...si ilikuwa ishu tu ya kuingisa beleshi pale kapuni na kuchota pwaaa...arusi ingeenda kufanyika pale sheratoni....tatiso si yule kijana mzaliti anafuatilia mambo ya rusuku na matumisi utasani pesa ni sa babake...........tumeshamchimba biti ila sijui kama atatuacha kichwa ngumu yule...... na pia......Kwani msee wetu wa fitalukesi (VITALU GESI) angeamua tu si angesimamia mcheso msima mwanso mwisho, unafikiri hiyo aruzi nani angekusa hapa mjini.......ni sababu sa kisiasa tu nasisitisa tena...... Na huyu Sito huyu.....ipo siku tu......mwache aendelee na huo ujinga....
Ninachojua mie kuwa ni Roman Catholic pekee ndio kuna mziki wa sheria.....kwingine zinarekebishika....Naomba kurekebishwa kama nimekosea.