Heeheee ama kweli usimdharau mtu
Ukaona bora kamanda ana future mbele ya kua mbunge, baada ya kuukosa imekua shida.
....eti nalipa bills so wht!? Kwani wangapi wanasimamia show za waume zao?
Angekua mbunge ungeongea sshv?!
Na bado ,unafikiri kuvunja agano ni kirahirahisi