Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,911
- 3,016
ChiefNiaje wadau vidole vyangu vya Mikono vimekiwa vikiwasha na Kutoka vipele ambavyo vipo Kwa mbali kama vionekanavyo hapo pichani.. isitoshe nimekuwa na kauchovu flani.. Mafua yasiyoisha mwezi na Kitu.. pia Kwenye vidole vya Miguu Kuna muwasho kama wa fungus hivi..
Tazama hizi picha kisha uniambie ni Tatizo gani!View attachment 1082349View attachment 1082350
Je ukiangalia vizuri hivyo vipele vinafwata mishipa ya damu kwa juu?
pia vinawasha sana usiku?
pia muda mwingine vinatokea kwenye fungu na kuwasha pia usiku?
pia vinatokea miguuni na kwenye mikono hasa sehemu laini zinazofunikwa na nguo muda mrefu?
Swali la msingi la mleta mada ni kutaka kujua chanzo cha tatizo.Kwa hiyo meza kwanza dawa za minyoo uone kama itaendelea.
Nenda hospitali, Utapa usahauri na vipimo.Kutoka vipele ambavyo vipo Kwa mbali kama vionekanavyo hapo pichani.. isitoshe nimekuwa na kauchovu flani.. Mafua yasiyoisha mwezi na Kitu.. pia Kwenye vidole vya Miguu Kuna muwasho kama wa fungus hivi
Ni baraa yule Mdudu,hakuna dawa ya kutuliza Maumivu anayoskia.Ni mdudu huyo
Lazima kifumuke hicho kidole ndo kinapona
Maumivu yake usipime.!
Swali la msingi la mleta mada ni kutaka kujua chanzo cha tatizo.
Haishauriwi kutumia dawa pasipo ushauri wa daktari. Mwili sio wa kuufanyia majiaribio kunywa dawa kwa kuzani kuwa huenda ikatibu tatizo fulani ambalo hujui imesababishwa na nini.
Nenda hospitali, Utapa usahauri na vipimo.
Hata wakiuliza picha hawaweki[emoji85][emoji85][emoji85]Mbona uko pengine mkiwashwa hamji kuuliza
Uko pengine me sitak pichaHata wakiuliza picha hawaweki[emoji85][emoji85][emoji85]
Na wanasema dawa ya mdudu ni kulaza kidole ndani ya nyuchi usiku kucha! Unasemaje katika hilo [emoji41]Ni mdudu huyo
Lazima kifumuke hicho kidole ndo kinapona
Maumivu yake usipime.!
[emoji23]
Sasa utajuaje ugonjwa bila pichaUko pengine me sitak picha
[emoji48]Asee hiko kidole kimepima sana oil.. naona bacteria now wanakitafuna taratiiiibu
Picha nyengine zinatupeleka mbali kimawazoSasa utajuaje ugonjwa bila picha
Sasa hilo nalo ni tatizo lako binafsi linalojitegemeaPicha nyengine zinatupeleka mbali kimawazo
Jina ndo hivo hivo anaitwa Mdudu,ila kuna Majina ya kienyeji pamoja na kitaalamu,Mdudu gani
Jina ndo hivo hivo anaitwa Mdudu,ila kuna Majina ya kienyeji pamoja na kitaalamu,
Yaani ni Mithiri ya funza akikamata hicho kidole,hatoki hadi apasuliwe,na kupasuliwa ni hadi aive,
Sasa hayo Maumivu yake unapomsubiri aive,USIOMBE.
Na akishatolewa anakuachia kilema either ukucha huna au kidole hakinyooki Mpaka kufa kwako.