Tazama Hii Picha Halafu uniambie Tatizo nini!

Mkuu hivo vipele vimetoka makundi makundi..sio mkono mmoja Tu Hadi wa Pili
Fuata ushauri wa Mwl.RCT kwa hayo maelezo inaonesha sio mdudu,mdudu anadeal na kidole kimoja mpaka azae na wewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] diagnosis za Jf zaweza kukupa gonjwa la moyo....

nenda hospitali ufanye vipimo na kupata dawa sahihi.
 
Nikiwa napona toka kuumwa Malaria huwa napata hivyo vipele baada ya kujikuna kwenye viganja vya mkono na miguu.
Sijawahi jua kwanini siwashwi mwili wote zaidi ya viganjani, lakini ninachofanya ni kunywa maji mengi na kuoga maji ya moto, halafu sijipaki mafuta mpaka nakuta vimeacha approx siku 4!.
Muwasho huanza ukitoka jasho!?..
 
Mkuu you have A Point Naomba Nenda deep kidogo unieleze
Ni vizuri uende hospital atafanya VIPIMO cya damu na majibu sahihi utapata. Yawezekana una bacteria infection na Dr atakupa dawa ya kumeza kumaliza tatizo. Mwisho wa siku vitakauka na vitatoa magamba fulani hivi. Huwa vinawasha sana hivyo. Ila siyo tatizo la kuogopesha
 
dalili ya UKOMA and Kansa ya vidole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kansa, yaweza kuwa kansa ya ngozi wahi hosp
 
Asante Sana Kaka
 
Nenda kwa Dr huo ni mchafuko wa damu
 
Nenda kwa Dr huo ni mchafuko wa damu
 
Sina ushauri ila una vidole vizuriiiii ningevipata mm hivyo ningewakomesha sana
 
Mbona Kama Ni Aina ya fangas ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…