modavid
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 705
- 628
Mushangao mkubwa mkuu [emoji3][emoji16][emoji16][emoji23] !!!Mbona uko pengine mkiwashwa hamji kuuliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mushangao mkubwa mkuu [emoji3][emoji16][emoji16][emoji23] !!!Mbona uko pengine mkiwashwa hamji kuuliza
Fuata ushauri wa Mwl.RCT kwa hayo maelezo inaonesha sio mdudu,mdudu anadeal na kidole kimoja mpaka azae na wewe.Mkuu hivo vipele vimetoka makundi makundi..sio mkono mmoja Tu Hadi wa Pili
Pamoja na dawa ya minyoo ni vizuri ukafanye full blood count KUANGALIA kama kuna hitilafu pia hormone na cortisol levels.Na ameze dawa ya minyooo
Ni vizuri uende hospital atafanya VIPIMO cya damu na majibu sahihi utapata. Yawezekana una bacteria infection na Dr atakupa dawa ya kumeza kumaliza tatizo. Mwisho wa siku vitakauka na vitatoa magamba fulani hivi. Huwa vinawasha sana hivyo. Ila siyo tatizo la kuogopeshaMkuu you have A Point Naomba Nenda deep kidogo unieleze
dalili ya UKOMA and Kansa ya vidole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niaje wadau vidole vyangu vya Mikono vimekiwa vikiwasha na Kutoka vipele ambavyo vipo Kwa mbali kama vionekanavyo hapo pichani.. isitoshe nimekuwa na kauchovu flani.. Mafua yasiyoisha mwezi na Kitu.. pia Kwenye vidole vya Miguu Kuna muwasho kama wa fungus hivi..
Tazama hizi picha kisha uniambie ni Tatizo gani!View attachment 1082349View attachment 1082350
Asante Sana KakaNi vizuri uende hospital atafanya VIPIMO cya damu na majibu sahihi utapata. Yawezekana una bacteria infection na Dr atakupa dawa ya kumeza kumaliza tatizo. Mwisho wa siku vitakauka na vitatoa magamba fulani hivi. Huwa vinawasha sana hivyo. Ila siyo tatizo la kuogopesha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona uko pengine mkiwashwa hamji kuuliza
Niaje wadau vidole vyangu vya Mikono vimekiwa vikiwasha na Kutoka vipele ambavyo vipo Kwa mbali kama vionekanavyo hapo pichani.. isitoshe nimekuwa na kauchovu flani.. Mafua yasiyoisha mwezi na Kitu.. pia Kwenye vidole vya Miguu Kuna muwasho kama wa fungus hivi..
Tazama hizi picha kisha uniambie ni Tatizo gani!View attachment 1082349View attachment 1082350
noNiaje wadau vidole vyangu vya Mikono vimekiwa vikiwasha na Kutoka vipele ambavyo vipo Kwa mbali kama vionekanavyo hapo pichani.. isitoshe nimekuwa na kauchovu flani.. Mafua yasiyoisha mwezi na Kitu.. pia Kwenye vidole vya Miguu Kuna muwasho kama wa fungus hivi..
Tazama hizi picha kisha uniambie ni Tatizo gani!View attachment 1082349View attachment 1082350
Mbona Kama Ni Aina ya fangas nduguNiaje wadau vidole vyangu vya Mikono vimekiwa vikiwasha na Kutoka vipele ambavyo vipo Kwa mbali kama vionekanavyo hapo pichani.. isitoshe nimekuwa na kauchovu flani.. Mafua yasiyoisha mwezi na Kitu.. pia Kwenye vidole vya Miguu Kuna muwasho kama wa fungus hivi..
Tazama hizi picha kisha uniambie ni Tatizo gani!View attachment 1082349View attachment 1082350