Uchaguzi 2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

Nimesoma lakini hata sielewi, Magari ya Lisu ndio yameuia njia wengine wapite wapi?.
Walipewa maagizo ya kumzuia Lisu asiende ukerewe wamwambie kivuko ni kibovu japo kilikuwa kikifanya kazi kabla ya kuwasili kwake,msafara wa Lisu ukapaki sehemu ya kushukia magari yakitoka kwenye kivuko,Lisu akatumia usafiri mbadala wa mtumbwi kwenda upande wa pili kisiwani ukerewe alipofika ukerewe kivuko kilichokua kibovu kikang'oa nanga kumkimbia Lisu kilipofika ndo kikakuta magari ya msafara yameblock pa kushukia, so ikabidi wamsubirie Hadi arudi toka ukerewe aje kutoa msafara wa magari yake ili magari yaliyopo kivukoni yaweze kushusha. So hapa ccm walitwanga kinu maji. Kila njia wanayoziba njia nyingine ufunguka
 
Kwa sheria ipi sasa
 
Anazui watu kufanya shughuli zao halafu mnamsifu?? Inapaswa atoe faini
Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya maccm au kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako.

FUNZO: Ukiwa mnufaika (beneficiary) wa mfumo wowote ule usitumie vibaya hiyo privilege kuwatukana/gandamiza/dharau/piga/onea wengine, Hakuna hali inayodumu milele.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unavuta ugoro wa mavi ya panya wewe! Kwa walidanganya kua kivuko ni kibovu tuanzie hapo kwanza!
Hivi inawezekana mtu akavuta ugoro wa mavi ya panya?? How and why??

Tuanzie hapa kwanza nitambue kama wewe ni reasonable man.

Nisije nikawa nazungumza na tahira.
 

Chochote kibaya wanachofanyia wapinzani kinasaidia kuwapa umaarufu na kuibomoa ccm na serikali hii izidi kuchukiwa na wananchi, thus nawapongeza Sana polisi wanafanya kazi nzuri Sana ya kuibomoa ccm kwa kupandikiza chuki kwa watz wazidi kuichukia serikali hii dhalimu.

Police mnafanya kazi nzuri Sana endelea kuwashughulikia wapinzani ili kuibomoa ccm ichukiwe zaidi kupitia matendo yenu ya kuwanyanyasa wapinzani. Pia wapinzani endeleeni kukusanya ushahidi kupitia matendo yote maovu wakufanyieni.
 
Anatoa Amri ya kufunga barabara yeye kama nani nchi hii? Kwanini azuie watu wengine kufanya shughuli zao kisa mambo yake ya kisiasa? Tunamuona anavyoendelea kuhujumu uchumi wa taifa letu.
 
Mkuu watanzania hawahawa wanaojazana kwenye mikutano ya ccm ndio wa kujazwa chuki dhidi ya ccm? watanzania wenye chuki dhidi ya ccm wako huku mitandaoni na wanachuki sio utani ila huku mitaani hali ni tofauti.
 
Hapo ndio hana mamlaka,kwa hali hiyo waafrika tutaendelea kulalamikia viongozi wetu kila siku bila kujali wanatoka vyama gani.
 
Mkuu watanzania hawahawa wanaojazana kwenye mikutano ya ccm ndio wa kujazwa chuki dhidi ya ccm? watanzania wenye chuki dhidi ya ccm wako huku mitandaoni na wanachuki sio utani ila huku mitaani hali ni tofauti.
Thus wasingejazana bila wasanii mikutano ya Lissu
 
Thus wasingejazana bila wasanii mikutano ya lisu
Ndio nakwambia hivi hao watanzania wangekuwa na chuki kweli basi wasingejazana kwenye mikutano ya CCM hata kama kuna wasanii, ni wazi hiyo chuki haijawaingia kisawa sawa au hawajielewi ndio maana kotekote wanajazana tu.
 
Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Mjinga zaidi ni yule aliuoagiza kivuko ni kibovu mwerevu ni yule aliefika mwisho wa Safari na akijua gari watamletea aliko
 
Ndiyo maana wewe siyo polisi ili usitekeleze nia yako ovu! Amini nakwambia Polisi siyo robots walielewa mchezo wote ndiyo maana hawakutekeleza mawazo mgando kama yako!

Mara ya pili mtu anaambiwa kivuko kibovu! Na ujue hakunaga siri ya watu wawili lazima aliambiwa kinachoendelea!

Ni vile huwajui Wakerewe! Dhamira ya wenye mamlaka na kivuko iliwasuta ndiyo maana wakaufyata! Nchi hii ni yetu sote kila mtu ana haki tuishi kwa Upendo!
 
Waliobomolewa nyumba Kimara mbona hawajalipwa kwa dhuluma waliofanyiwa na huu utawala wa kiimla.
 
Hii akili ya Lissu sio ya bara hili
 
Safi
Kumkomoa mtu muongo mwenye dharau na kiburi. Mwenyewe anamtukana na kumkejeli magufuli kwa kujenga miundombinu ya barabara meli na vivuko. Anasema ni vitu havina uhusiano na maendeleo ya watu. Apande kejeli zake mshenzi huyo.
 
Kwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa
Walisema hakitafanya kazi siku nzima, wataalam ndio walisema wewe nani unabisha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…