Uchaguzi 2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Kati ya Magufuli na Lissu nani hana busara! Unapojibu swali hili, tafadhali uwe mkweli kwa nafsi yako na kwa Mungu!!
 
Muziki wa Lissu babu kubwa. Amewafunua macho Watanzania. Ana akili sana, jasiri, mkweli, mpenda haki, mwanasheria nguli, MTU wa watu, mwema, mzalendo wa kweli na mleta maendeleo ya watu. Hao waongoza kivuko ni wajinga na watoto sana kiuongozi. Wamejiaibisha.
 
Kwamba wewe unafahamu Sheria kuliko Lissu? Rudi shule Kwanza.
 
Kwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa
Ina maana kila Lissu anapotaka kutumia kivuko ndiyo kinsharibika?

Kumbuka mara ya kwanza aliambiwa kuwa kivuko kilikuwa kibovu akaahirisha safari...!
 

Wewe ni ziro kabisa, umeambiwa kivuko ni kibovu,huyo mjamzito atapita na kitu gani
 
Sasa kama akina Lisu waliambiwa kibovu ikitakiwa washushe magari yao.Kwa nini waliyaacha kwenye ferry? Inahoonekana yalipoingia magari wao wkasepa kutafuta kick vyombo vya habari

Tuashukuru vyombo vingi vya habari kugoma kurusha kick zao feki
Vimegoma au vimeagizwa?

Aibu tupu!!
 
Ni jambo la kipuuzi sana hili, wapinzani wanajiona wao ndo wenye nchi hii peke yao. Kwani kivuko kuwa kibovu ina maana hakitatengenezwa ili kipone na kiendelee na shughuli za kijamii. Mambo mengine sijui wapinzani wanafikiria kwa kutumia nini?
Si waliambiwa hakitakuwepo siku nzima?
 
Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Acha ufala japo kidogo basi, waliambiwa kivuko kibovu na hakitafanya kazi siku hiyo, pia mara ngapi anapopita magufuli tunasimamishwa barabarani masaa kibao halafu akitoka hapo anapiga magoti kuomba kura?
 
Sio kwa tz hii mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…