Wana mgambo wa HAMAS hawamiliki kifaru hata kimoja wapa ndege ya jeshi,harakati zao dhidi ya Israel huzifanya kwa kutumia bunduki, rocket na makombora ya masafa mafupi na yale ya mkononi pamoja na drones.
Israel imekua ikipata tabu na kutumia gharama kubwa kupambana na HAMAS kiasi cha kwamba sasa imeanzisha Vita kwa kuua wanawake na watoto na kiumbe chochote pamoja na Majengo baadala ya kupambana na wana mgambo husika.
Hii imetokana na HAMAS kutumia miundo mbinu ya chini ya ardhi ambayo ni mahandaki yenye mtandao wa urefu upatao 400km ambayo wanayatumia kuhifadhi silaa,kushambulia na hata mateka wengi imewahifadhi kwenye mahandaki hayo.
Baadhi ya mahandaki ni makubwa kama metro za treni za umeme ambapo kuna mifumo ya umeme na pia huruhusu gari kutembea ndani ya mahandaki hayo.
Jionee wana mgambo wakishambulia kwa mapigo makali na kuangamiza wanajeshi wa Israel hapo jana na juzi ndani ya eneo la Gaza