Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Nigemjibu hivyo unavyo taka ningekuwa sijamsahidia kitu ...ila ili jibu ndiyo linamjenga na litamsahidia sana.Mkuu hukuwa na haja ya kumkeleli unge muelewesha tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nigemjibu hivyo unavyo taka ningekuwa sijamsahidia kitu ...ila ili jibu ndiyo linamjenga na litamsahidia sana.Mkuu hukuwa na haja ya kumkeleli unge muelewesha tu.
Tofautisha ‘Area’ na ‘Length’. Hivi umefika hata la 3 kweli?Gaza inatajwa kuwa na KM za mraba 365 kama sijakosea, je huo urefu wa mahandaki unatoshaje kwenye eneo hilo
nchi zilipigwa je makundi yatasurvive kwel?Kiongozi wa Hezbullah anatoa tamko ijumaa,tutarajie Vita rasmi Sasa kutoka Hezbollah Lebanon, Houthi Yemen na Hamas, makundi makubwa matatu
Hizi ni mbinu walizopata toka afghanistan kwa mzee mwanazuoni ulamaa Osama bin laden mwamba!Wana mgambo wa HAMAS hawamiliki kifaru hata kimoja wapa ndege ya jeshi,harakati zao dhidi ya Israel huzifanya kwa kutumia bunduki, rocket na makombora ya masafa mafupi na yale ya mkononi pamoja na drones.
Israel imekua ikipata tabu na kutumia gharama kubwa kupambana na HAMAS kiasi cha kwamba sasa imeanzisha Vita kwa kuua wanawake na watoto na kiumbe chochote pamoja na Majengo baadala ya kupambana na wana mgambo husika.
Hii imetokana na HAMAS kutumia miundo mbinu ya chini ya ardhi ambayo ni mahandaki yenye mtandao wa urefu upatao 400km ambayo wanayatumia kuhifadhi silaa,kushambulia na hata mateka wengi imewahifadhi kwenye mahandaki hayo.
Baadhi ya mahandaki ni makubwa kama metro za treni za umeme ambapo kuna mifumo ya umeme na pia huruhusu gari kutembea ndani ya mahandaki hayo.
Jionee wana mgambo wakishambulia kwa mapigo makali na kuangamiza wanajeshi wa Israel hapo jana na juzi ndani ya eneo la Gaza
View attachment 2800639
View attachment 2800640
View attachment 2800641
View attachment 2800656
Huyo allah ana uwezo gani wakati yeye ni mvivu anataka watu ndio wampiganie eti wakifa anaenda kuwapa mabikra 72 na pombe za kwenye mito. Very hopeless.Israel ina silaha bora za kuangusha majengo mazima mazima na kuchimbua ardhi kina kirefu.Silaha hizo ni ghali sana na wakati mwengine huwa hazilengi sawasawa.Na mahandaki hata yakijulikana yalipo yapo chini ambapo hizo silaha hazipenyi.
Msaada unaohitajika ni dua ili Hamas waweze kuhimili hiyo mikiki ya Israel mpaka hapo Israel itakapoishiwa na silaha zake na misaada ikakata kutoka kwa wafadhili wake waliokwisha kukumbwa na ukata wa fedha na silaha kutokana na vita vya Ukraine.Hapo kwa uwezo wa Allah tutashuhudia askari wa Israel wakikimbia na kukimbizwa mpaka na watoto wadogo wanawaowapiga sasa.
Hivi unataka kutuambia hamna wapalestina wakristo?Hamas anashinda hii vita asubuhi sana.Israel watafutiliwa mbali kabisa na watakoma kuwachezea wapiganaji mahiri wa Kiislamu
Yule gaidi ambaye maiti yake ilizikwa baharini.Hizi ni mbinu walizopata toka afghanistan kwa mzee mwanazuoni ulamaa Osama bin laden mwamba!
America ni mwalimu mzuri sana wa kukaririsha watu upumbavu alimtumia miaka 11 kupambana na soviet hakuwaambia ni gaidi walipohitilafiana maslahi wakawakaririsha ni gaidi,saddamu Hussein walimtumia miaka 10 kupigana na iran walihitilafiana maslahi wakamvamia na kumnyonga wakawaririsha ni gaidi.America ni gaidi numero u ulimwenguni!Yule gaidi ambaye maiti yake ilizikwa baharini.
Duh!...haya mahandako wanayachimba kwa vifaa gani na muda gani mpaka wasijulikane na mahasimu wao ?Baadhi ya mahandaki ni makubwa kama metro za treni za umeme ambapo kuna mifumo ya umeme na pia huruhusu gari kutembea ndani ya mahandaki hayo.
Hata buku hakai mashimoni Maisha YAKE yote!Unajua battle tactics? Hivi unafikiri wanaka mashimoni maisha yao yote
Ushaanza na mistari ya biblia ? Una nia gani wewe unataka unigombanishe na bwana Uesu wewe eeenhHata buku hakai mashimoni Maisha YAKE yote!
Mbinu ya medani tunaitumia hata kumtoa Shimoni buku Kwa kuongoza maji Shimoni kwake lazima atoke tu!
Mbinu hiyo wanayo Yahudi Kwa kutumia mabomu hatarishi ya Sponge boms![emoji24][emoji24]
Hatuombei kuangamia watu!
Ilana Muda Utasema sababu!
Mungu wa deen ya Wayahudi Amewaagiza Wayaishi haya ili wawe Salamai!
[emoji116][emoji116]
Deuteronomy 19:20-21
[20]Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.
[21]Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa
mkono, mguu kwa mguu.
tulia ww gaidiMashoga wote akiwemo ww wapigwe miti.
Hawa Jihadist wanastahili kuuliwa wote na vizazi vyao. In fact, wapalestina wote ni terroristsWana mgambo wa HAMAS hawamiliki kifaru hata kimoja wapa ndege ya jeshi,harakati zao dhidi ya Israel huzifanya kwa kutumia bunduki, rocket na makombora ya masafa mafupi na yale ya mkononi pamoja na drones.
Israel imekua ikipata tabu na kutumia gharama kubwa kupambana na HAMAS kiasi cha kwamba sasa imeanzisha Vita kwa kuua wanawake na watoto na kiumbe chochote pamoja na Majengo baadala ya kupambana na wana mgambo husika.
Hii imetokana na HAMAS kutumia miundo mbinu ya chini ya ardhi ambayo ni mahandaki yenye mtandao wa urefu upatao 400km ambayo wanayatumia kuhifadhi silaa,kushambulia na hata mateka wengi imewahifadhi kwenye mahandaki hayo.
Baadhi ya mahandaki ni makubwa kama metro za treni za umeme ambapo kuna mifumo ya umeme na pia huruhusu gari kutembea ndani ya mahandaki hayo.
Jionee wana mgambo wakishambulia kwa mapigo makali na kuangamiza wanajeshi wa Israel hapo jana na juzi ndani ya eneo la Gaza
View attachment 2800639
View attachment 2800640
View attachment 2800641
View attachment 2800656
Ngoja yanyunyiziwe sumu,hamas watapukutikaAkili za kuchambia ndiyo zinaweza kuuliza swali la kupumbavu kama ili .....maandaki yapo zigizaga kumchanganya adui. Na mengine yanajitegemea