Wana mgambo wa HAMAS hawamiliki kifaru hata kimoja wapa ndege ya jeshi,harakati zao dhidi ya Israel huzifanya kwa kutumia bunduki, rocket na makombora ya masafa mafupi na yale ya mkononi pamoja na drones.
Israel imekua ikipata tabu na kutumia gharama kubwa kupambana na HAMAS kiasi cha kwamba sasa imeanzisha Vita kwa kuua wanawake na watoto na kiumbe chochote pamoja na Majengo baadala ya kupambana na wana mgambo husika.
Hii imetokana na HAMAS kutumia miundo mbinu ya chini ya ardhi ambayo ni mahandaki yenye mtandao wa urefu upatao 400km ambayo wanayatumia kuhifadhi silaa,kushambulia na hata mateka wengi imewahifadhi kwenye mahandaki hayo.
Baadhi ya mahandaki ni makubwa kama metro za treni za umeme ambapo kuna mifumo ya umeme na pia huruhusu gari kutembea ndani ya mahandaki hayo.
Jionee wana mgambo wakishambulia kwa mapigo makali na kuangamiza wanajeshi wa Israel hapo jana na juzi ndani ya eneo la Gaza
Hii imetokana na HAMAS kutumia miundo mbinu ya chini ya ardhi ambayo ni mahandaki yenye mtandao wa urefu upatao 400km ambayo wanayatumia kuhifadhi silaa,kushambulia na hata mateka wengi imewahifadhi kwenye mahandaki hayo.
IDF atawatwanga wote hata waje na makundi ya Iraq na Syria, kwenye vita IDF wako vizuri sana ila Yemen watakapoanza kushughulikiwa makundi ya haki za kibinadamu zikae pembeni,.
Watangaze vita alafu pia makundi za haki za kibinadamu zikae pembeni ili tuone mbabe kamili, kama ziliungana nchi kadhaa na zilipigwa sembuse makundi tu wewe jamaa akili zako haziko sawa umevurugwa
Wana mgambo wa HAMAS hawamiliki kifaru hata kimoja wapa ndege ya jeshi,harakati zao dhidi ya Israel huzifanya kwa kutumia bunduki, rocket na makombora ya masafa mafupi na yale ya mkononi pamoja na drones.
Israel imekua ikipata tabu na kutumia gharama kubwa kupambana na HAMAS kiasi cha kwamba sasa imeanzisha Vita kwa kuua wanawake na watoto na kiumbe chochote pamoja na Majengo baadala ya kupambana na wana mgambo husika.
Hii imetokana na HAMAS kutumia miundo mbinu ya chini ya ardhi ambayo ni mahandaki yenye mtandao wa urefu upatao 400km ambayo wanayatumia kuhifadhi silaa,kushambulia na hata mateka wengi imewahifadhi kwenye mahandaki hayo.
Baadhi ya mahandaki ni makubwa kama metro za treni za umeme ambapo kuna mifumo ya umeme na pia huruhusu gari kutembea ndani ya mahandaki hayo.
Israel ina silaha bora za kuangusha majengo mazima mazima na kuchimbua ardhi kina kirefu.Silaha hizo ni ghali sana na wakati mwengine huwa hazilengi sawasawa.Na mahandaki hata yakijulikana yalipo yapo chini ambapo hizo silaha hazipenyi.
Msaada unaohitajika ni dua ili Hamas waweze kuhimili hiyo mikiki ya Israel mpaka hapo Israel itakapoishiwa na silaha zake na misaada ikakata kutoka kwa wafadhili wake waliokwisha kukumbwa na ukata wa fedha na silaha kutokana na vita vya Ukraine.Hapo kwa uwezo wa Allah tutashuhudia askari wa Israel wakikimbia na kukimbizwa mpaka na watoto wadogo wanawaowapiga sasa.
Unapoona kwenye soka wanaweza kuhesabu urefu wa mbio alizopiga mchezaji uwanjani ni kuhesabu mzunguko alioufanya kwa kuoanisha na umbali.
Hivyo hayo mahandaki yamejizururisha huko Gaza kama kona za nyoka vile.
My take
Mataifa ya jirani yanapiga kelele kusitisha ground invasion pale Gaza kwa sababu, inawezekana hayo mahandaki yakagundulika yamechomozea ama kuungwa na nchi zinazofadhili HAMAS kisilaha na mbinu