Tazama jumba la msanii Diamond Platnumz

Tazama jumba la msanii Diamond Platnumz

Yes naweza nikasema anayo kwa kuangalia tuu mauzo yake ya music namaanisha online platform, shows alizofanya , matangazo kweny makampuni makubwa . Kama anawalipa TRA 40M kwa mwezi kwann asiwe na billion

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani ni watanzania wangapi wanauwezo wa kujenga Nyumba ya 900 millions tukiacha uongo wa kila mtu kujisifia!!!...
 
Kwa sifa za DOMONDI kama angekuwa anamiliki huo mjengo angekuwa kashouonyesha kila kwenye social media zake!!
 
Jamaa limbukeni kama Niggas.

Anyway hizo ndio mbinu za kupatia totos.
 
Back
Top Bottom