Tazama jumba la msanii Diamond Platnumz

Tazama jumba la msanii Diamond Platnumz

Nyumba yenyewe ya kupanga. Ikitokea Coronavirus ikaendelea,hakuna show,muda si mrefu anarudi Madale.
Kuna wapuuzi hapa wanasema kajenga! Wanajua sisi vilaza, wananikumbusha nyumba ya Wema Sepetu pale Kijitonyama
 
Ndio umegundua Leo !!!

Tanzania nzima hakuna watu waongo kama diamond na meko
Aliwahi kuwadanganya wa Tandale wenziwe kwamba ana nyumba S.A eti unamiliki nyumba South afu kwenu unajenga Madale unsurveyed area
 
Mwamba anatupanga vingi sana
1. Bentley
2. Lamborghini
3. Jet
4. Nyumba ufukweni
By the way pesa anayo anaweza kufanya sema akiahidi ni miaka inapita
 
Mwamba anatupanga vingi sana
1. Bentley
2. Lamborghini
3. Jet
4. Nyumba ufukweni
By the way pesa anayo anaweza kufanya sema akiahidi ni miaka inapita
Mbona ndoto yake ya kumiliki Rolls Royce amekamilisha, pia aliahidi kuja na kampuni ya kubet na tunaiyona Wasafibet katika maisha sio kila ndoto utaitimiza sometimes pia kipaumbele kinabadilika
 
Kuna watu wanadanganyana wanasema mziki wa bongo haulipi ila kwa wasanii wenye akili na malengo kama bwana Platnumz hapo ameamua kutuprove wrong. View attachment 1426473

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii picha nilikuwa sijawahi iyona kumbe hadi nyumba yangu ya pembeni pale inanionekana nimefarijika sana, wadau pale ndo Nyumbani msisite kukaribia, eeh ndio ndio ni jirani yake na huyu bwana mdogo
 
Back
Top Bottom