Tazama katika picha Wachina Wakimsikiliza Kwa Umakini Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Katibu Mkuu wa CCM

Post za mtu mshamba utazijua tu, yaani Nchimbi kuongea na wachina ni bonge la ujiko?! Kwa mvuto gani alionao hadi tuone ni bonge la fahari ama la kuonewa wivu?
 
Kwa umakini wako na fikra zako zilivyopevu naona haupaswi kujifungamanisha na huyu mwamba hata kama unayo hulka y kukipenda chama na raisi wako , ni maoni yangu tu lakini.
Baba wa Taifa Mwl.J.Nyerere alituasa kuepuka watu wa kutuchaguliwa marafiki 🐒
 
Wanajiuliza hii black mamba sijui imepata vip uongozi.Akili zao hapo ziko kwenye maliasili na kumdanganya aingie mkataba wajenge kitu wapate maokoto.Maana huyo jamaaa akikutana hata na wanangu wakimpiga maswali anaweza kukimbia.
 
chama cha mapinduzi ni chama tawala na kilichojikita na misingi imara hilo liko wazi ndani ya afrika na duniani kwa ujumla
 
Post za mtu mshamba utazijua tu, yaani Nchimbi kuongea na wachina ni bonge la ujiko?! Kwa mvuto gani alionao hadi tuone ni bonge la fahari ama la kuonewa wivu?
Gentleman,
pale suala halikua ujiko, bali mambo mazito na muhimu sana yaliozungumzwa na kuafikiwa na pande zote mbili za vyama hivi imara sana vya kisiasa duniani yaan CCM na CPC, kwa maslahi mapana ya wanachama na wananchi wote wa Jamuhuri ya watu wa China na wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 🐒
 
Baba wa Taifa Mwl.J.Nyerere alituasa kuepuka watu wa kutuchaguliwa marafiki 🐒
Ni ushauri tu , ndugu muheshiwa wala sina maana mbaya , ila siasa nyepesi kama hzo zinaondoa sifa hata ya raisi , inawezekana kabisa samia yupo vizuri tu sema wimbi la chawa ndio linamjengea picha mbaya kwa baadhi ya watu.
 
Unachekesha sana, wanamsikiliza au wanamlia timing kama kawaida watukopeshe.

Nchimbi anakipi chakuwaambia wachina wanaocompete na first world na ni kitisho Kwa the world first economy.
Wanasikiliza NONDO nzito nzito juu kuhusiana na CCM na serikali yake iliyopo madarakani
 
Post za mtu mshamba utazijua tu, yaani Nchimbi kuongea na wachina ni bonge la ujiko?! Kwa mvuto gani alionao hadi tuone ni bonge la fahari ama la kuonewa wivu?
Kama ni rahisi basi nenda na kichwa panzi chako ukaongee nao
 
Wanajiuliza hii black mamba sijui imepata vip uongozi.Akili zao hapo ziko kwenye maliasili na kumdanganya aingie mkataba wajenge kitu wapate maokoto.Maana huyo jamaaa akikutana hata na wanangu wakimpiga maswali anaweza kukimbia.
Acha ujinga wako wewe.
 
Nchimbi hapo anawapiga sound tu....
Siku zote nakuambiaga ukimjuwa
Mtu burdannn.....anyway sina baya na nchimbi,nje ya ccm namkubali

Ova
kuna jamaa moja bana anaitwa Zito Zuber Kabwe aliitwa msaliti, mara muongo, mara sijui mla rushwa, mara mchawi, kumbe tatizo ilikua ana akili na maarifa zaidi ya waliokua wanamtuhumu, dah ubinadamu kazi sana aise🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…