Tazama katika picha Wachina Wakimsikiliza Kwa Umakini Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Katibu Mkuu wa CCM

Wanasikiliza NONDO nzito nzito juu kuhusiana na CCM na serikali yake iliyopo madarakani

CCM inanini cha kuwafundisha CCP ya China?

yaani uwapige blahblah watu ambao wanajua kutengeneza kila kitu huku wewe hata sindano huwezi kutengeneza.
 
CCM inanini cha kuwafundisha CCP ya China?

yaani uwapige blahblah watu ambao wanajua kutengeneza kila kitu huku wewe hata sindano huwezi kutengeneza.
CCM imewasaidia wachina hadi kuingia umoja wa Mataifa. Kwa hiyo lazima ujue CCM ni baba na mtetezi wa wanyonge.
 
CCM imewasaidia wachina hadi kuingia umoja wa Mataifa. Kwa hiyo lazima ujue CCM ni baba na mtetezi wa wanyonge.

China ni moja ya Taifa lenye kura ya Veto pale UN council katika mataifa matano, Tanzania chini ya CCM pale UN-COUNCIL?.

Duniani watu hawaishi Kwa blahblah, Bali wanaishi kwa vitendo na mikakati imara.
 
Wachina wanawasoma tu, na ni kweli kabisa wanajua CCM na Mwenyekiti wao ni "Useful IDIOTS"; umewahi kuona wapi wajinga kama sisi? Mchina Maendeleo yake yote, Technology na Biashara zake nono anafanya na WEST; sisi tunakataa WEST halafu tunaenda kuomba kwa Wachina. Unajua wanakuonaje? You're the Useful Idiots.

China Trade inategemea West 80%; Tanzania na west kwa sasa Negligible, upuuzi huu!!!!!!!!!

Hili Ramaphosa kaliona South Africa, yeye mwenyewe kawarudisha wazungu wafanye naye kazi. Unajua kwa nini; he doesn't want to be a useful idiot any longer!!
 
Kwani Chadema ni Chama tawala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…