Tazama katika picha Wachina Wakimsikiliza Kwa Umakini Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Katibu Mkuu wa CCM

Leo hujanywa dawa zako za kupunguza makali ya ukichaa wako
 
Wafadhiri wa CCM hao ..... Wana Maslahi na hii nchi.
 
Acheni kula pekeyenu izo posho vijana ni weng hawana ajira na kaz ya uchawa wanaiweza ebu wapeni nafasi nawao waoneshe vipaji vyao na posho muwape
 
Acheni kula pekeyenu izo posho vijana ni weng hawana ajira na kaz ya uchawa wanaiweza ebu wapeni nafasi nawao waoneshe vipaji vyao na posho muwape
Kazi ni kipimo cha utu.fanya kazi upate pesa unazozihitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…