Kijana ambaye anauwezo wa kuongea kama mama Samia akionesha kipaji chake katoka moja ya kikao cha vijana kilichokutanishwa na rebby foundation mnamo Aprili.
inanikumbusha yule mbwiga wa iringa sijui njombe alikuwa anamuigiza mwendakuzimu hadi jinsi ya kuvaa mikoti oversize kama misomisondo naye sijui kaishia wapi nchi ina vijana wa hovyo sana hiyo. watu wanajipendekeza kwa namna zozote zile plus uchawi etc etc, kwa hali hiyo suala la maendeleo SAHAUNI.