PreGE2025 Tazama kimbunga cha No reforms no election Geita, Wenje aseme ahami chama, CCM hoi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kawaambieni vile vyama vyenu 17 mamluki waitishe mkutano wa hadhara kama watapa umati wa hivyo.
kila chama cha siasa chenye sifa za kisheria kushirki uchaguzi kina fanya mambo yake kulingana na mipango mikakati yake,

na vile vyama vya kiraia na saccos ambavyo havina sifa za kikatiba kushiri uchaguzi mkuu wa kisiasa navyo viendelee na mipango mikakati yao ya kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi waandamizi hususan wa chadema,
No problem gentleman πŸ’
 
Ingawa Samia The Killer anajiita Chura Kiziwi, safari hii uziwi utamtoka!
 
Kwa mara ya kwanza chadema imefikisha watu 84 kwenye mkutano wao
 
Hawawezi kuhama wote, wengine lazima wabaki chamani ili kusaidia udukuzi wa taarifa na kuzifast forward upande wa pili πŸ˜„
 
Hatushiriki chaguzi za kishenzi. Tunataka tuone hao mamluki wakifanya mikutano tuwaone hao wapiga kura zoa kwenye chaguzi za kishenzi.
 
Mch. Msigwa alisema ahami Chadema na siku tatu baadae akatambulishwa CCM akiwa ametinga kofia yake ya kijani! Ahahahahaha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…