Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Nyie endeleeni na mikutanoni yenu ila ikulu mtaisikiaga
kila chama cha siasa chenye sifa za kisheria kushirki uchaguzi kina fanya mambo yake kulingana na mipango mikakati yake,Kawaambieni vile vyama vyenu 17 mamluki waitishe mkutano wa hadhara kama watapa umati wa hivyo.
Na leo Geita ilikuwa ni hatarii nchi imeiva hii.Aisee hili vibe sio mchezo🙌🙌
Aiseeeee!!!Yafe tu! Hata yule kiongozi mkubwa ndani ya CCM ambaye nilisema nilibahatika kumla akifa kwa puresha ni sawa tu!
Kule International forum nakuonaga kama mtu smart sana kumbe ni walewale akina Mwashambwa.Nyie endeleeni na mikutanoni yenu ila ikulu mtaisikiaga
No reforms no election, leo ilikuwa mjini Katoro Geita, maelfu ya wananchi waiunga mkono.
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1921221068045324414?t=vS8C8M6SsX_Rf2j8nb4cfQ&s=19
Wenje asema yeye ahami chama bado yupo chadema kupigania mageuzi.
View: https://x.com/ShijaShibeshi/status/1921219862732341440?t=iPWlGK_u95bpLce5lxxQFg&s=19
CCM hoi bini taabani.
Msimuweke Heche kolokoloni, jibuni hoja.
View attachment 3330196View attachment 3330197
Watakufa kweli, kila mtu anazungumza sihami sihami!Msipokuwa makini Chadema mtaua watu kwa presha😀😀
Gazeti la Mwananchi limekuwa la kipumbavu sana siku hiziYale majibwa ya kijani si yalisema Wenje katengwa na akina Heche, Lema na Mnyika?
No reforms no election, leo ilikuwa mjini Katoro Geita, maelfu ya wananchi waiunga mkono.
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1921221068045324414?t=vS8C8M6SsX_Rf2j8nb4cfQ&s=19
Wenje asema yeye ahami chama bado yupo chadema kupigania mageuzi.
View: https://x.com/ShijaShibeshi/status/1921219862732341440?t=iPWlGK_u95bpLce5lxxQFg&s=19
CCM hoi bini taabani.
Msimuweke Heche kolokoloni, jibuni hoja.
View attachment 3330196View attachment 3330197
Mtu ukiwa CCM automatically akili zinakoma kufanya kaziKule International forum nakuonaga kama mtu smart sana kumbe ni walewale akina Mwashambwa.
Hatushiriki chaguzi za kishenzi. Tunataka tuone hao mamluki wakifanya mikutano tuwaone hao wapiga kura zoa kwenye chaguzi za kishenzi.kila chama cha siasa chenye sifa za kisheria kushirki uchaguzi kina fanya mambo yake kulingana na mipango mikakati yake,
na vile vyama vya kiraia na saccos ambavyo havina sifa za kikatiba kushiri uchaguzi mkuu wa kisiasa navyo viendelee na mipango mikakati yao ya kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi waandamizi hususan wa chadema,
No problem gentleman 🐒
No reforms no election, leo ilikuwa mjini Katoro Geita, maelfu ya wananchi waiunga mkono.
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1921221068045324414?t=vS8C8M6SsX_Rf2j8nb4cfQ&s=19
Wenje asema yeye ahami chama bado yupo chadema kupigania mageuzi.
View: https://x.com/ShijaShibeshi/status/1921219862732341440?t=iPWlGK_u95bpLce5lxxQFg&s=19
CCM hoi bini taabani.
Msimuweke Heche kolokoloni, jibuni hoja.
View attachment 3330196View attachment 3330197
😀😀Kwa mara ya kwanza chadema imefikisha watu 84 kwenye mkutano wao
WAhame tu sisi bado tupo tupo sanaMch. Msigwa alisema ahami Chadema na siku tatu baadae akatambulishwa CCM akiwa ametinga kofia yake ya kijani! Ahahahahaha!!
Sawa sawa.WAhame tu sisi bado tupo tupo sana