Tazama kionjo (trailer) cha filamu ya The Royal Tour aliyoshiriki Rais Samia

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466
Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani,

Starling wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan.

Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo baadae,

#Hakika Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa

Pia, soma: Ufafanuzi: The Royal Tour, filamu ya Rais Samia inayolenga kukuza utalii
 
===
Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani,

Stealing wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,

Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo baadae,

#Hakika Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa,
View attachment 2055514
Wanaishia kwenda Kenya. Mfumo wa utalii nchini ni mbovu. Imagine tumewazidi Kenya kwa vivutio ila bado wanatupiga mabao sana katika utalii. Hakuna asiyejua Tanzania ina vivutio vizuri. Na wala hakuna sababu ya kufanya filamu kama hio ili watu wajue.. muhimu ni kubadili system ikiwa pamoja na tariffs nyingi, customer care nzuri, barabara nzuri zipitike vizuri mwaka mzima na sio wakati wa high season tu, na guides wapewe elimu nzuri waive kabisa katika lugha na knowledge ya utalii
 
MATAGA wakifafanua jinsi filamu ya royal tour itakavyoleta watalii milioni tano huku wakisahau kuwa watalii huwa hawaendi kwenye nchi zenye ugaidi kama Tanzania.Wanasahau kuwa Mbowe yupo ndani kwa tuhuma za ugaidi😁😁😁
View attachment 2055521
Akili za MACHAGA 👇👇

IMG_20211103_093523.jpg

IMG_20211212_191326.jpg
 
Wanaishia kwenda Kenya. Mfumo wa utalii nchini ni mbovu. Imagine tumewazidi Kenya kwa kivutia ila bado wanatupiga mabao sana katika utalii. Hakuna asiyejua Tanzania ina vivutio vizuri. Na wala hakuna sababu ya kufanya filamu kama hio ili watu wajue.. muhimu ni kubadili system ikiwa pamoja na tariffs nyingi
Kenya wanatuzidi revenues kwenye utalii..that's what you're saying??
 
Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani,

Stealing wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,

Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo baadae,

#Hakika Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa,
View attachment 2055514
Kwenye hili watanzania mmepigwa parefu
 
Wanaishia kwenda Kenya. Mfumo wa utalii nchini ni mbovu. Imagine tumewazidi Kenya kwa kivutia ila bado wanatupiga mabao sana katika utalii. Hakuna asiyejua Tanzania ina vivutio vizuri. Na wala hakuna sababu ya kufanya filamu kama hio ili watu wajue.. muhimu ni kubadili system ikiwa pamoja na tariffs nyingi
Kwa average wakenya wana akili kuliko watz walio wengi
 
Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani,

Stealing wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,

Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo baadae,

#Hakika Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa,
View attachment 2055514
Upuuzi mtupu
 
Mimi na swali,sisi kama nchi tumejifunza nini kwenye iyo royal tour?ni nini unaona tunatakiwa tufanye?au tusubiri royal tour nyingine?
 
Promo zimetosha wajameni, kizuri chajiuza! Maana huu ni uzi wa 3 leo tu nimeona
 
Back
Top Bottom