Tazama kionjo (trailer) cha filamu ya The Royal Tour aliyoshiriki Rais Samia

Tazama kionjo (trailer) cha filamu ya The Royal Tour aliyoshiriki Rais Samia

Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani,

Stealing wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,

Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo baadae,

#Hakika Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa,
View attachment 2055514
Sasa mbona siioni
 
Fuatilia data za revenues Tanzania vs Kenya utuletee basi. Tunasubiri. Sio watu mnakuwa wabishi tu. Hapa ni kuelimishana. Ila ninavyojua Kenya always tourism revenue zinazidi Tanzania year after year.
Acha utani..ukanda huu tunakimbizwa na South Africa..

Kenya hawatuzidi mapato ya utalii.
 
Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani,

Stealing wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,

Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo baadae,

#Hakika Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa,
View attachment 2055514
Stealing? Mbona humtendei haki Mheshimiwa Rais wetu?

Amandla...
 
mwanangu utateseka Sana yaani
Mwanao anaeteseka ni huyu anaelialia kuwa hakujiandaa kuwa Rais.She is hopeles.
i9mage987uhyt12.jpg
 
video nimeona aisee ni kal sana hii inazidi kutuweka katika lamani ya dunia na kuipaisha kiuchumi tanzania na pia itauhamisha ufarme wa utalii kutoka bahamas huko na copacabana kwa watalii kuja kumiminika tanzania.
 
Wanaishia kwenda Kenya. Mfumo wa utalii nchini ni mbovu. Imagine tumewazidi Kenya kwa vivutio ila bado wanatupiga mabao sana katika utalii. Hakuna asiyejua Tanzania ina vivutio vizuri. Na wala hakuna sababu ya kufanya filamu kama hio ili watu wajue.. muhimu ni kubadili system ikiwa pamoja na tariffs nyingi, customer care nzuri, barabara nzuri zipitike vizuri mwaka mzima na sio wakati wa high season tu, na guides wapewe elimu nzuri waive kabisa katika lugha na knowledge ya utalii
hiz zote ni changamoto ambazo zinafanyiwa kaz na taasis husika.laoyal tour iitabak kuwa ya kimataifa
 
Waliopita wametuachia nchi nzuri. TUBARIKIWE MILELE na sisi tuwaachie watoto wetu nchi nzuri.
 
video nimeona aisee ni kal sana hii inazidi kutuweka katika lamani ya dunia na kuipaisha kiuchumi tanzania na pia itauhamisha ufarme wa utalii kutoka bahamas huko na copacabana kwa watalii kuja kumiminika tanzania.
Naungana nawewe 100%
 
Back
Top Bottom