Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Move kali hili balaa,Nimeiyona mkuu yaani video yake umeiweka inaonekana vizuri Sana.
Tatizo wewe sio Mtanzania ,Upuuzwe tuMATAGA wakifafanua jinsi filamu ya royal tour itakavyoleta watalii milioni tano huku wakisahau kuwa watalii huwa hawaendi kwenye nchi zenye ugaidi kama Tanzania😁😁😁
View attachment 2055521
Wanaishia kwenda Kenya. Mfumo wa utalii nchini ni mbovu. Imagine tumewazidi Kenya kwa vivutio ila bado wanatupiga mabao sana katika utalii. Hakuna asiyejua Tanzania ina vivutio vizuri. Na wala hakuna sababu ya kufanya filamu kama hio ili watu wajue.. muhimu ni kubadili system ikiwa pamoja na tariffs nyingi, customer care nzuri, barabara nzuri zipitike vizuri mwaka mzima na sio wakati wa high season tu, na guides wapewe elimu nzuri waive kabisa katika lugha na knowledge ya utalii===
Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani,
Stealing wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,
Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo baadae,
#Hakika Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa,
View attachment 2055514
Ubovu uko wapi mkuu?Wanaishia kwenda Kenya. Mfumo wa utalii nchini ni mbovu.
Akili za MACHAGA 👇👇MATAGA wakifafanua jinsi filamu ya royal tour itakavyoleta watalii milioni tano huku wakisahau kuwa watalii huwa hawaendi kwenye nchi zenye ugaidi kama Tanzania.Wanasahau kuwa Mbowe yupo ndani kwa tuhuma za ugaidi😁😁😁
View attachment 2055521
Ambae unapaswa kupuuzwa ni wewe ambae unashindwa kujua kitu kidogo kabisa kwamba watalii huwa hawaendi kwenye nchi zenye ugaidi.Tatizo wewe sio Mtanzania ,Upuuzwe tu
Kenya wanatuzidi revenues kwenye utalii..that's what you're saying??Wanaishia kwenda Kenya. Mfumo wa utalii nchini ni mbovu. Imagine tumewazidi Kenya kwa kivutia ila bado wanatupiga mabao sana katika utalii. Hakuna asiyejua Tanzania ina vivutio vizuri. Na wala hakuna sababu ya kufanya filamu kama hio ili watu wajue.. muhimu ni kubadili system ikiwa pamoja na tariffs nyingi
Tariffs nyingi. Customer service mbaya. Poor communication skills sababu guides wengi lugha zinawapiga chenga. Barabara hazipitiki mfano Nyerere national park nk.Ubovu uko wapi mkuu?
Kwenye hili watanzania mmepigwa parefuCheck filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani,
Stealing wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,
Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo baadae,
#Hakika Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa,
View attachment 2055514
Kenya wanatuzidi revenues kwenye utalii..that's what you're saying??
Kwa average wakenya wana akili kuliko watz walio wengiWanaishia kwenda Kenya. Mfumo wa utalii nchini ni mbovu. Imagine tumewazidi Kenya kwa kivutia ila bado wanatupiga mabao sana katika utalii. Hakuna asiyejua Tanzania ina vivutio vizuri. Na wala hakuna sababu ya kufanya filamu kama hio ili watu wajue.. muhimu ni kubadili system ikiwa pamoja na tariffs nyingi
Ndio maana tumerecord hii video mjombaKenya wins ‘World’s leading safari destination’ at World Travel Awards 2020
Kenya has for the sixth time in a row been voted as the ‘World’s leading safari destination’ by the World Travel Awards held on 27 November 2020 in Moscow, Russiaafrica.businessinsider.com
mwanangu utateseka Sana yaaniAmbae unapaswa kupuuzwa ni wewe ambae unashindwa kujua kitu kidogo kabisa kwamba watalii huwa hawaendi kwenye nchi zenye ugaidi.Huna akili.
Upuuzi mtupuCheck filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani,
Stealing wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,
Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo baadae,
#Hakika Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa,
View attachment 2055514