PreGE2025 Tazama makao makuu ya CCM yatakavyokuwa baada ya jengo kukamilika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.

Makao hayo makuu mapya, ambayo yatakuwa ya kisasa, yanatarajiwa kuwa kitovu cha shughuli zote kuu za chama hicho tawala. Uwasilishaji wa ramani hiyo umefanyika mbele ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
 
Jengeni viwanda acheni taarabu
 
View attachment 3349619
Wanaacha kuwekeza kujenga viwanda vya uzalishaji wanawaza kujenga ofisi ya chama wakati ofisi wanayo
 
Bilioni 34 ni zaidi ya viwanda 30 vya bilioni moja moja kwa kila mkoa wa Tanzania.
Multiplier effects zake kiuchumi, ni kubwa sana kuliko hilo jengo lao.
 
Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.

Makao hayo makuu mapya, ambayo yatakuwa ya kisasa, yanatarajiwa kuwa kitovu cha shughuli zote kuu za chama hicho tawala. Uwasilishaji wa ramani hiyo umefanyika mbele ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
View attachment 3349619
CCM wanakwapuaga sana hela za Serikali wanaenda kuwekeza kwenye miundombinu yao.
 
Duh! Sasa hapa ccm itaongoza milele haitatoka madarakani. Inawezekanaje chama kama chauma kukiundoa madarakani chama kinachojimbia mizizi kiasi hiki? Ccm ina wanachama wa kutosha kuwapigia kura, je hao watanzania wanaobaki bila ya kuwa wana ccm kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 vyama vingine vitakuwa na wanachama wangapi kila kimoja na hata wakiungana watakuwa na wanachama wangapi ili wapate kura za kuishinda ccm?
 
Bilioni 34 ni zaidi ya viwanda 30 vya bilioni moja moja kwa kila mkoa wa Tanzania.
Multiplier effects zake kiuchumi, ni kubwa sana kuliko hilo jengo lao.
Wangejenga kiwanda cha Chuma Liganga na kujenga reli kutoka Liganga hadi Bandarini Mtwara. Vichwa matope
 
Back
Top Bottom