PreGE2025 Tazama makao makuu ya CCM yatakavyokuwa baada ya jengo kukamilika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Duh! Sasa hapa ccm itaongoza milele haitatoka madarakani. Inawezekanaje chama kama chauma kukiundoa madarakani chama kinachojimbia mizizi kiasi hiki? Ccm ina wanachama wa kutosha kuwapigia kura, je hao watanzania wanaobaki bila ya kuwa wana ccm kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 vyama vingine vitakuwa na wanachama wangapi kila kimoja na hata wakiungana watakuwa na wanachama wangapi ili wapate kura za kuishinda ccm?
Ukitaka kuchukiwa waiweke CHADEMA hapo na CCM pale,halafu uchaguzi uwe HURU na wa HAKI,dadeki mbona mtiti uatonekana.
 
Duh! Sasa hapa ccm itaongoza milele haitatoka madarakani. Inawezekanaje chama kama chauma kukiundoa madarakani chama kinachojimbia mizizi kiasi hiki? Ccm ina wanachama wa kutosha kuwapigia kura, je hao watanzania wanaobaki bila ya kuwa wana ccm kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 vyama vingine vitakuwa na wanachama wangapi kila kimoja na hata wakiungana watakuwa na wanachama wangapi ili wapate kura za kuishinda ccm?
Uchaguzi huru na haki ndio utajibu haya maswali yako yote.
 
Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.

Makao hayo makuu mapya, ambayo yatakuwa ya kisasa, yanatarajiwa kuwa kitovu cha shughuli zote kuu za chama hicho tawala. Uwasilishaji wa ramani hiyo umefanyika mbele ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani🤣🤣🤣a, Samia Suluhu Hassan.
Halafu kuna mtu anasema eti sisiem itatoka madarakani nyie🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Bilioni 34 ni zaidi ya viwanda 30 vya bilioni moja moja kwa kila mkoa wa Tanzania.
Multiplier effects zake kiuchumi, ni kubwa sana kuliko hilo jengo lao.
Kwani kazi ya chama cha siasa ni kujenga viwanda? Kazi yake ni kukamata dola ili hiyo dola ikajenge viwanda na mambo mengine.
 
Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.

Makao hayo makuu mapya, ambayo yatakuwa ya kisasa, yanatarajiwa kuwa kitovu cha shughuli zote kuu za chama hicho tawala. Uwasilishaji wa ramani hiyo umefanyika mbele ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Hamtayatukia, mtakuwa mmeondolewa madarakani
 
Katika plan wamekumbuka kuweka ofisi maalumu ya Lucas Mwashambwa?
Luca ataajiriwa kudeki vyoo, hivyo ofisi yake itakuwa corridor za huko vyooni, ashughulike na makimba ya akina Wassira, Kabudi nk
 
CHAUMMA TUANZE HARAMBEE TUPATE OFISI KAMA HIZI, TUSIFANYE HARAMBEE ZA KUJAZA MATUMBO YA VIONGOZI MFANO WA TONE TONE, TUFANYE HARAMBEE KWA MATUKIO MUHIMU PEKEE.
 
Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.

Makao hayo makuu mapya, ambayo yatakuwa ya kisasa, yanatarajiwa kuwa kitovu cha shughuli zote kuu za chama hicho tawala. Uwasilishaji wa ramani hiyo umefanyika mbele ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Siku chama cha majambazi kiking’olewa madarakani mali zote kilizopora lazima zitaifishwe!
 
Kiwanda gani hicho cha bilioni moja
Kwani sera ya viwanda iliyoanzishwa na Jiwe ya cherehani/mashine za kusaga/kuchomelea vyuma kuwa viwanda imekufa!!??
Nenda pale Mkuranga kaone watu walivyoanzisha viwanda vya milioni 300, vya kutengeneza products tano kutokana na Mnazi, kiwanda cha kutengeneza products 3 za mihogo kwa milioni 400.
 
Bila chumba cha kububujikia machozi hilo jengo halijakamilika, lazima haki itendeke
 
Bilioni 34 ni zaidi ya viwanda 30 vya bilioni moja moja kwa kila mkoa wa Tanzania.
Multiplier effects zake kiuchumi, ni kubwa sana kuliko hilo jengo lao.

Ndo vipaumbele vyao hivyo mkuu wala usishangae.
 
Back
Top Bottom