Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Jengeni viwanda acheni taarabuRamani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Makao hayo makuu mapya, ambayo yatakuwa ya kisasa, yanatarajiwa kuwa kitovu cha shughuli zote kuu za chama hicho tawala. Uwasilishaji wa ramani hiyo umefanyika mbele ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Wanaacha kuwekeza kujenga viwanda vya uzalishaji wanawaza kujenga ofisi ya chama wakati ofisi wanayoRamani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Makao hayo makuu mapya, ambayo yatakuwa ya kisasa, yanatarajiwa kuwa kitovu cha shughuli zote kuu za chama hicho tawala. Uwasilishaji wa ramani hiyo umefanyika mbele ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
View attachment 3349619
chama cha siasa kazi ya ni kushika uongozi tu, izo zingine ni mbwembweHiki chama kinajiandalia Mifumo na Miundombinu ya Milele madarakani
Yeye na Tlaatlaah ofisi zao zipo JamiiAfrica 😂😂😂Katika plan wamekumbuka kuweka ofisi maalumu ya Lucas Mwashambwa?
CCM wanakwapuaga sana hela za Serikali wanaenda kuwekeza kwenye miundombinu yao.Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Makao hayo makuu mapya, ambayo yatakuwa ya kisasa, yanatarajiwa kuwa kitovu cha shughuli zote kuu za chama hicho tawala. Uwasilishaji wa ramani hiyo umefanyika mbele ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
View attachment 3349619
Kitatoka tu, na sasa tumeongezewa sapoti kutoka nje ya mipaka!.Hiki chama kinajiandalia Mifumo na Miundombinu ya Milele madarakani
Wangemsikiliza Laingwanan wangefika mbali sana.chama cha siasa kazi ya ni kushika uongozi tu, izo zingine ni mbwembwe
View: https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM&pp=ygUObG93YXNhIGNoYWRlbWE%3D
Wangejenga kiwanda cha Chuma Liganga na kujenga reli kutoka Liganga hadi Bandarini Mtwara. Vichwa matopeBilioni 34 ni zaidi ya viwanda 30 vya bilioni moja moja kwa kila mkoa wa Tanzania.
Multiplier effects zake kiuchumi, ni kubwa sana kuliko hilo jengo lao.