Ukitaka kuchukiwa waiweke CHADEMA hapo na CCM pale,halafu uchaguzi uwe HURU na wa HAKI,dadeki mbona mtiti uatonekana.Duh! Sasa hapa ccm itaongoza milele haitatoka madarakani. Inawezekanaje chama kama chauma kukiundoa madarakani chama kinachojimbia mizizi kiasi hiki? Ccm ina wanachama wa kutosha kuwapigia kura, je hao watanzania wanaobaki bila ya kuwa wana ccm kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 vyama vingine vitakuwa na wanachama wangapi kila kimoja na hata wakiungana watakuwa na wanachama wangapi ili wapate kura za kuishinda ccm?
Na atakuja kulia sana akikosa atakuja andika "nimebubujikwa na machozi"Katika plan wamekumbuka kuweka ofisi maalumu ya Lucas Mwashambwa?
Uchaguzi huru na haki ndio utajibu haya maswali yako yote.Duh! Sasa hapa ccm itaongoza milele haitatoka madarakani. Inawezekanaje chama kama chauma kukiundoa madarakani chama kinachojimbia mizizi kiasi hiki? Ccm ina wanachama wa kutosha kuwapigia kura, je hao watanzania wanaobaki bila ya kuwa wana ccm kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 vyama vingine vitakuwa na wanachama wangapi kila kimoja na hata wakiungana watakuwa na wanachama wangapi ili wapate kura za kuishinda ccm?
Chama Dola hicho, ila kila marefu yana ncha.Hiki chama kinajiandalia Mifumo na Miundombinu ya Milele madarakani
Halafu kuna mtu anasema eti sisiem itatoka madarakani nyie🤣🤣🤣🤣🤣.Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Makao hayo makuu mapya, ambayo yatakuwa ya kisasa, yanatarajiwa kuwa kitovu cha shughuli zote kuu za chama hicho tawala. Uwasilishaji wa ramani hiyo umefanyika mbele ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani🤣🤣🤣a, Samia Suluhu Hassan.
Kwani kazi ya chama cha siasa ni kujenga viwanda? Kazi yake ni kukamata dola ili hiyo dola ikajenge viwanda na mambo mengine.Bilioni 34 ni zaidi ya viwanda 30 vya bilioni moja moja kwa kila mkoa wa Tanzania.
Multiplier effects zake kiuchumi, ni kubwa sana kuliko hilo jengo lao.
si wanajikuta wote wanaharakati wanaotaka uongozi 🤣 🤣Wangemsikiliza Laingwanan wangefika mbali sana.
Kwani kuna ubaya gani?Hiki chama kinajiandalia Mifumo na Miundombinu ya Milele madarakani
Hamtayatukia, mtakuwa mmeondolewa madarakaniRamani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Makao hayo makuu mapya, ambayo yatakuwa ya kisasa, yanatarajiwa kuwa kitovu cha shughuli zote kuu za chama hicho tawala. Uwasilishaji wa ramani hiyo umefanyika mbele ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Luca ataajiriwa kudeki vyoo, hivyo ofisi yake itakuwa corridor za huko vyooni, ashughulike na makimba ya akina Wassira, Kabudi nkKatika plan wamekumbuka kuweka ofisi maalumu ya Lucas Mwashambwa?
Kiwanda gani hicho cha bilioni mojaBilioni 34 ni zaidi ya viwanda 30 vya bilioni moja moja kwa kila mkoa wa Tanzania.
Multiplier effects zake kiuchumi, ni kubwa sana kuliko hilo jengo lao.
Siku chama cha majambazi kiking’olewa madarakani mali zote kilizopora lazima zitaifishwe!Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Makao hayo makuu mapya, ambayo yatakuwa ya kisasa, yanatarajiwa kuwa kitovu cha shughuli zote kuu za chama hicho tawala. Uwasilishaji wa ramani hiyo umefanyika mbele ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Kwani sera ya viwanda iliyoanzishwa na Jiwe ya cherehani/mashine za kusaga/kuchomelea vyuma kuwa viwanda imekufa!!??Kiwanda gani hicho cha bilioni moja
Bilioni 34 ni zaidi ya viwanda 30 vya bilioni moja moja kwa kila mkoa wa Tanzania.
Multiplier effects zake kiuchumi, ni kubwa sana kuliko hilo jengo lao.