PreGE2025 Tazama Malori yakiwa na Baiskeli za Rais Samia kwa ajili ya kuzigawa kwa wapiga Kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Endelea kuimba mapambio Mkuu, mwenzako Lucas Mwashambwa amepewa kanga ndo anasubiri baiskeli.

Ww mpaka kampeni ziishe utakuwa umeshapata baiskeli Yako
mapambio siwezzi kaka

ningekua nishapata PC, pikipiki, khanga na baiskeli 😂😂😂

Halaaaa Bimkubwa. Octoba tunatiki 🔥
 
Wakuu!

Imagine miaka 64 ya Uhuru, bado Khanga na Baiskeli ndio chambo katika Uvuvi wa Kisiasa na kutoa Kura kirahisi tu.

Uchaguzi unapokaribia mbinu za kisiasa zinaongezeka, zikiwemo zawadi kwa wananchi zinazobeba sura ya rushwa. Hadi mabox yenyewe yameandikwa jina la Samia Suluhu Hassan (SSH). Tazama malori yakipakiwa sijui wanashusha baiskeli zinazojulikana kama Baiskeli za Rais Samia, tayari kwa kugawa kwa Wananchi wa maeneo mbalimbali.

Hapo kwenye baiskeli Safi..
 
Kamdanganye yule aliyekuleta duniani pamoja na yule aliyepandikiza mbegu ukazaliwa wewe, maana hakika hao ndio watakuwa na akili kama zako.
Wafadhili wa CCM hao hapo hata shilingi moja ya CCM haijatumika
 
Wakuu!

Imagine miaka 64 ya Uhuru, bado Khanga na Baiskeli ndio chambo katika Uvuvi wa Kisiasa na kutoa Kura kirahisi tu.

Uchaguzi unapokaribia mbinu za kisiasa zinaongezeka, zikiwemo zawadi kwa wananchi zinazobeba sura ya rushwa. Hadi mabox yenyewe yameandikwa jina la Samia Suluhu Hassan (SSH). Tazama malori yakipakiwa sijui wanashusha baiskeli zinazojulikana kama Baiskeli za Rais Samia, tayari kwa kugawa kwa Wananchi wa maeneo mbalimbali.

Attachments

  • IMG-20250613-WA0001.jpg
    IMG-20250613-WA0001.jpg
    74.9 KB · Views: 25
Nimeona clip moja tiktok mzee mmoja ana toa shukran mpaka analia aisee ningekua karibu ningemnasa kibao na baiskali ngeichoma
Kuna katibu wa tawi la CCM huko Rufiji alipewa smartphone (nimeambiwa makatibu wote wa CCM wa matawi wamepewa smartphone na baiskeli), alishukuru mpaka akapiga goti kwenye picha ya mwenyekiti wake kumshukuru!
 
Anatumia nguvu isiyo kawaida kusalia madarakani, lazima kuna tatizo!!.

Imagine kuteka, kuua & kuweka ndani wakosoaji havitoshi...mabango ya propaganda kote nchini...mapikipiki, baiskel, yutong (ma bus)
Aisee iko shida

Angekuwa anakubalika kwa wananchi isingekuwa namna ilivyo leo!
Exactly 💯 mkuu
 
Wakuu!

Imagine miaka 64 ya Uhuru, bado Khanga na Baiskeli ndio chambo katika Uvuvi wa Kisiasa na kutoa Kura kirahisi tu.

Uchaguzi unapokaribia mbinu za kisiasa zinaongezeka, zikiwemo zawadi kwa wananchi zinazobeba sura ya rushwa. Hadi mabox yenyewe yameandikwa jina la Samia Suluhu Hassan (SSH). Tazama malori yakipakiwa sijui wanashusha baiskeli zinazojulikana kama Baiskeli za Rais Samia, tayari kwa kugawa kwa Wananchi wa maeneo mbalimbali.

Wakuu!

Imagine miaka 64 ya Uhuru, bado Khanga na Baiskeli ndio chambo katika Uvuvi wa Kisiasa na kutoa Kura kirahisi tu.

Uchaguzi unapokaribia mbinu za kisiasa zinaongezeka, zikiwemo zawadi kwa wananchi zinazobeba sura ya rushwa. Hadi mabox yenyewe yameandikwa jina la Samia Suluhu Hassan (SSH). Tazama malori yakipakiwa sijui wanashusha baiskeli zinazojulikana kama Baiskeli za Rais Samia, tayari kwa kugawa kwa Wananchi wa maeneo mbalimbali.

Hapa ni kuzuia uchaguzi tu. Inawezeka vipi mgombea anaanza kugawa baiskeli wakati huu ni mwaka wa uchaguzi
 
Back
Top Bottom