Tazama msururu wa Usajili wa CHADEMA Digital huko Rukwa

Hakuna "msululu" hapo, hao ni watu wasiofika hata 25 tu! Wanoenkana kuwa wako kwenye ukumbi ambao haukupakwa rangi.
 
Mbona kama vile wamefata kilo moja moja ya unga wa sembe na nusu ya maharage. Kuna dalili ya watu walioenda kusajiliwa kweli hapo?
 
Hivi msururu huanzia watu wangapi?
 
Wasiojuwa maana ya mwitiko kama huo unaojionyesha kwenye hiyo picha ni vizuri waendelee kutoelewa maana yake ni nini.

Itakuwa vizuri sana CCM wakiendelea kudharau umati wa watu wachache kiasi kile, kwani wao ni CHAMA KUBWA!

Hata sielewi maana ya mleta mada kama hii hapa ni nini hasa! Kuwaamusha waliolala au kujitafutia maumivu zaidi?

Habari kama hizi zinafaa kuwa ndani ya chama kwa sasa, huku juhudi hizo zikisambaa kila sehemu kama moto nyikani.
 
Hii chumvi, watu wawili ndo msululu
 
Hii chumvi, watu wawili ndo msululu
Kati yako na @erthyrocyte nani ametia chumvi? Huo ni msururu kwasababu mbili 1. Hatuoni mwanzo wake Wala mwisho wake.

2. Watu wako kwenye queue nakubaliana na matumizi ya neno msururu alilotumia mleta mada.

Turudi kwako wewe unasema hao watu ni wawili Sasa je Kati ya wewe na mleta mada Nani Katia chumvi?
 
Chadema ni mpango wa Mwenyezi Mungu ndiyo sababu iko mioyoni mwa Watanzania wanaojitambua. Mwenyezi Mungu ibariki Chadema na Viongozi wake wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…