Tazama msururu wa Usajili wa CHADEMA Digital huko Rukwa

Hii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .

Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.

View attachment 1986775
23 people on the queue, and its apparent others are mere observers. CHADEMA has to go back to the drawing board and come out afresh!!
 
CCM wanajidanganya na majitu humu JF eti Chadema imekufa. Nina uhakika ukitangaza lolote kujiunga na cdm kutajaa mafuriko
 
Hii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .

Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.

View attachment 1986775
HALAFU VINAWASAIDIA NINI LABDA UNAJUWA MFANYE VITU VYENYE MANUFAA KWA HAO WATU MNAWAPOTEZEA MUDA USIO NA MAANA
 
23 people on the queue, and its apparent others are mere observers. CHADEMA has to go back to the drawing board and come out afresh!!
hilo ukiwashauri watakuona msaliti wakati ndiyo nia ya kuwasaidia halafu ungewaandikia na kwa kiswahili maana chadema wengi elimu hakuna yaani mbumbumbu
 
Hii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .

Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.

View attachment 1986775

haha taaarifa znasema hakuna pa kukanyaga, kumejaa mbaya mbovu, kweli ccm sio watu wazuri, yaaani anajua kukiendesha icho kikundi anavotaka yeye
 
23 people on the queue, and its apparent others are mere observers. CHADEMA has to go back to the drawing board and come out afresh!!

These are who stand up to be counted at a mere one small locality. Not even at one district.

If you are wise, you should be hiring or preparing for more prisons!!
 
Hii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .

Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.

View attachment 1986775
WAKISIKIA YANAYOENDELEA MAHAKAMANI WATAJIONA HAWANA AKILI KUMSAPOTI GAIDI KAMA MBOWE JAMAA WANAVYOMKAANGA MBOWE AISEE MBOWE GAIDI JAMANIHAKUNA JINSI
 
Kwani unayasikilizia wapi? Kwani kuna TV au radio inayorusha live?
 
Huo sio tu msururu bali ni mafurikoooooo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom