Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Utakuta hao watu wanailaumu serikali kwa umaskini wao ππHii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .
Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.
View attachment 1986775
Nakuja nazo nikitoka hapa Ukraine,nikuletee nanjirinji kitongoji ganiEeee bhana Daktari hizo dawa nazipataje sasa ?
Mbunge wakuchaguliwa mmoja tuu kweli Mungu ana Mpango na chadema.Chadema ni mpango wa Mwenyezi Mungu ndiyo sababu iko mioyoni mwa Watanzania wanaojitambua. Mwenyezi Mungu ibariki Chadema na Viongozi wake wote.
KWA hio na msululu?Hii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .
Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.
View attachment 1986775
90% ya wabunge wa ccm hawakushinda uchaguziMbunge wakuchaguliwa mmoja tuu kweli Mungu ana Mpango na chadema.
Watu kumi na nane kama tunataka kuwa sahihi.Watu kumi unakuwa msululu?
Mbunge wakuchaguliwa mmoja tuu kweli Mungu ana Mpango na chadema.
Kwi Kwi KwiWatu kumi na nane kama tunataka kuwa sahihi.
=====
Ushahidi wa picha iliyoletwa haudhibitishi kuwa watu hao wanafanya jambo linaloihusu ChademaChadema
Hii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .
Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.
View attachment 1986775