Usiwe mjinga na wewe!?? Umeelewa nilichoandika au umeamua tu kuandika ili na ww uonekane unajua!??ikiwepo kitambo ndio anakuwa hajaibiwa au?
acha uzwazwa na wewe..
Taja hilo igizoHii video niliiona mwaka 2011, halafu inawezekana kabisa ni igizo.
Huu wizi bado upo sana maeneo ya Kariakoo.....jamaa wanapigwa everyday
Mkuu hapo mtu hakabwi bali wizi wa kiakili Dar ni safe labda usiku ndio sio safe na nchi nyingi hata huko Europa Usiku sio safe kihivyo ,kama wanamaanisha usalama wa mwili basi usalama upo labda kwenye kutapeliwa ,kuingizwa chaka hapo sawaTabia hii ni ya kijinga na inaipa Tanzania sifa mbaya, kitu cha kwanza watu hua wananiulzia kuhusu Tanzania ni kua "Is it safe?" Naona aibu kuwaambia Tanzania ni salama maana ukweli ni kua si salama, Ukilinganisha na nchi zote nilizoishi Tanzania ndo the least safe, labda na Brazil pia unaibiwa kijinga mchana kweupe watu wanaangalia. Hawa vibaka ovyo kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda mwaume wa mkoa wa Dar Es Salaam
ππππSisi wanaume wa dar huwa hatuibiwi kizembe namna iyo...Jamaa naona wanamuelekeza njia ya kariakoo shimoni ili akawadithie sagulamagobe kuwa na yeye kashafika shimoni,
Akitoka hapo ataenda na kupiga picha pale darajani manzese