Tazama Mwanaume wa mkoani akiibiwa Kariakoo

Tazama Mwanaume wa mkoani akiibiwa Kariakoo

Tabia hii ni ya kijinga na inaipa Tanzania sifa mbaya, kitu cha kwanza watu hua wananiulzia kuhusu Tanzania ni kua "Is it safe?" Naona aibu kuwaambia Tanzania ni salama maana ukweli ni kua si salama, Ukilinganisha na nchi zote nilizoishi Tanzania ndo the least safe, labda na Brazil pia unaibiwa kijinga mchana kweupe watu wanaangalia. Hawa vibaka ovyo kabisa.
 
Hahahahaha guess kwenye asante mteja ameiba nn kwa mfano?
 
ikiwepo kitambo ndio anakuwa hajaibiwa au?
acha uzwazwa na wewe..
Usiwe mjinga na wewe!?? Umeelewa nilichoandika au umeamua tu kuandika ili na ww uonekane unajua!??
 
Huyo jamaa ni wa kazimzwibwi ndani ndani huko maeneo ya chole
 
Hii video niliiona mwaka 2011, halafu inawezekana kabisa ni igizo.
 
Tabia hii ni ya kijinga na inaipa Tanzania sifa mbaya, kitu cha kwanza watu hua wananiulzia kuhusu Tanzania ni kua "Is it safe?" Naona aibu kuwaambia Tanzania ni salama maana ukweli ni kua si salama, Ukilinganisha na nchi zote nilizoishi Tanzania ndo the least safe, labda na Brazil pia unaibiwa kijinga mchana kweupe watu wanaangalia. Hawa vibaka ovyo kabisa.
Mkuu hapo mtu hakabwi bali wizi wa kiakili Dar ni safe labda usiku ndio sio safe na nchi nyingi hata huko Europa Usiku sio safe kihivyo ,kama wanamaanisha usalama wa mwili basi usalama upo labda kwenye kutapeliwa ,kuingizwa chaka hapo sawa
As long usiku hatembei
 
Sisi wanaume wa dar huwa hatuibiwi kizembe namna iyo...Jamaa naona wanamuelekeza njia ya kariakoo shimoni ili akawadithie sagulamagobe kuwa na yeye kashafika shimoni,

Akitoka hapo ataenda na kupiga picha pale darajani manzese
😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom