Graph
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 2,735
- 6,165
Tabia hii ni ya kijinga na inaipa Tanzania sifa mbaya, kitu cha kwanza watu hua wananiulzia kuhusu Tanzania ni kua "Is it safe?" Naona aibu kuwaambia Tanzania ni salama maana ukweli ni kua si salama, Ukilinganisha na nchi zote nilizoishi Tanzania ndo the least safe, labda na Brazil pia unaibiwa kijinga mchana kweupe watu wanaangalia. Hawa vibaka ovyo kabisa.