Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dada yetu ni chizi tumsameheAtabubujikwa na machozi, kwanza huyu inaonyesha hata mtungi bado hajapata!
Chizi MwenyeweHuyu dada yetu ni chizi tumsamehe
Ibeidi tu nicomment bila hata kusoma ila post za lucas hata kusoma huww naona ni ujingaNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika tuna Rais Imara,kwa hakika Ikulu yetu Imepata Mtu Makini,shupavu , madhubuti,imara,hodari na Mwenye Utimamu wa Akili na Mwili. Tanzania tumepata Neema ya kuwa na Rais Anayejua nini anapaswa kufanya katika kuwakilisha Taifa letu .
Tumepata Neema na upendeleo wa kuwa na Rais Ambaye anajua wajibu wake na majukumu yake katika kutetea na kulinda Maslahi na heshima ya Taifa letu. Huyu Mama kwa hakika ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Siyo Binadamu wa kawaida . Ni mtu na Nusu. Anafanya kazi kwa umakini Utafikiri kafungiwa Mfumo wa kompyuta kichwani mwake.
Huwezi ukaona Rais wetu akizubaa zubaa awapo katika vikao muhimu na vya kimkakati.muda wote utaona Akipitia nyaraka neno kwa neno na kurasa moja baada ya nyingine. Ndio sababu hapitwi na jambo lolote lile,ndio maana Tanzania tumefaidika na mengi sana wakati huu wa uongozi wake.
Ndio maana Ushawishi wa Tanzania umeongezeka sana Duniani kwote ,ndio maana ya Mama yetu kuorodheshwa kuwa Miongoni Mwa wanawake mia moja wenye ushawishi na nguvu zaidi Duniani Kwote.
Embu Tazama kwa umakini pichani Rais wetu akiwa katika mkutano huko Addis Ababa Ethiopia akiwa makini akipitia nyaraka zake kurasa baada ya kurasa na neno baada ya neno kwa umakini wa hali ya juu sana. Lakini pia angalia mkono wa kulia wa Mama yetu kipenzi uone nini anakifanya huyo Mwingine.
Kama una macho mazuri yasiyo na upofu wa aina yoyote ile au matatizo ya aina yoyote ile utagundua kuwa huyo Mwingine pembeni ya RAIS wetu kipenzi anasinzia na wala hana habari na hizo nyaraka zilizopo mezani pake. Lakini ukitupa jicho kwa nyuma hapo unaona kuna mwingine yupo Bize na simu yake. Na wengine ni kama hata hawajui kama kuna karatasi na nyaraka wanazopaswa kuzipitia mezani pao kabla ya kuanza na kutoa michago yao.
Hapo ni lazima utegemee Rais wetu Mpendwa kuwa na mchango chanya na wenye tija na wenye kujenga kwelikweli,huku wengine wakiamka usingizini watakuja kuunga tu mkono hatuba na hoja za Mama yetu Mpendwa. Hii ndio maana Tanzania kwa kipindi hiki hatuwezi kuburuzwa na mtu yeyote yule kwa sababu tuna Rais na kiongozi makini na mwenye kuzungukwa na watu makini ambao wote wanakesha usiku na mchana kupigania maslahi ya Taifa letu na ustawi wa watanzania.
Kwa hakika CCM Imewapa kile watanzania wanahitaji katika mioyo yao . Imewapatia chaguo bora sana katika uchaguzi ujao.View attachment 3237142View attachment 3237143
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyo kasinzia na haelewi hata kinachoendelea na akiamka hapo atakuwa hajui afanye nini.Salva Kiir, hasinzii ila yuko kwenye mode ya critical thinking, inakuwa kama ni meditation but very alert 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Leo hujaingia kazini?Chizi Mwenyewe
Nipo shambani kwanguLeo hujaingia kazini?
Mara hii umepata na likizo aseeNipo shambani kwangu
Mkulima hana likizo.Muda wote ni kazini tu.Mara hii umepata na likizo asee
Uwe na heshima kwa Mheshimiwa RaisKama kweli vile. Kumbe haelewi hata hicho anachokisoma. 😆🤣
We shetani utalima nini?Mkulima hana likizo.Muda wote ni kazini tu.
Ndio nimetoka shambani muda huu. Vipi dogo unaendeleaje . Au kichwa kimejaa moshi mtupu kama kawaida yako ya kujifukiza.We shetani utalima nini?
Onyesha picha mjinga wewe, uache kupiga mizinga uende shamba!Ndio nimetoka shambani muda huu. Vipi dogo unaendeleaje . Au kichwa kimejaa moshi mtupu kama kawaida yako ya kujifukiza.
22 waarabu countries tell us which oneHuo uzushi wenu ulishapitwa na wakati na watanzania wanaelewa ukweli ni upi. Ni Ninyi mlikuwa mnazusha uzushi kuwa bandari zote zimeuzwa kwa Mwarabu . Lakini leo kila mtanzania anafahamu kuwa ukweli ni upi.
Picha ya nini. Kwani umeambiwa Nimepotea hadi picha yangu iwekwe hapa. Weka yako ili upelekwe Mirembe.Onyesha picha mjinga wewe, uache kupiga mizinga uende shamba!