Tazama namna Rais wetu akipitia nyaraka kwa umakini mkubwa wakati wengine wakionekana pichani wakisinzia huko Ethiopia

Ibeidi tu nicomment bila hata kusoma ila post za lucas hata kusoma huww naona ni ujinga
 
Salva Kiir, hasinzii ila yuko kwenye mode ya critical thinking, inakuwa kama ni meditation but very alert 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Salva Kiir, hasinzii ila yuko kwenye mode ya critical thinking, inakuwa kama ni meditation but very alert 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyo kasinzia na haelewi hata kinachoendelea na akiamka hapo atakuwa hajui afanye nini.
 
Hayo maelezo yote ni kwaajili ya huyo picha akipitia karatasi moja tu.

Ww kijana utizamwe upya
 
Huo uzushi wenu ulishapitwa na wakati na watanzania wanaelewa ukweli ni upi. Ni Ninyi mlikuwa mnazusha uzushi kuwa bandari zote zimeuzwa kwa Mwarabu . Lakini leo kila mtanzania anafahamu kuwa ukweli ni upi.
22 waarabu countries tell us which one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…