Tazama namna Rais wetu akipitia nyaraka kwa umakini mkubwa wakati wengine wakionekana pichani wakisinzia huko Ethiopia

Hii nayo inakidhi kua habari/ taarifa.
 
Hizo nyaraka hakupewa kabla na kuziangalia ili kwenye mkutano a concentrate na kinachoendelea ? Huenda nimekosea ila mara nyingine kufanya kitu pekee ni jambo moja ila kufanya kitu kwa wakati muafaka ni more beneficial (huenda huyo aliyefumba macho na full concentration bila distraction ndio akawa anafuatilia zaidi)

Looks can be deceiving especially kama zikichukuliwa out of context....
 
Sasa ilikuwaje wakasign madudu DP world?
 

View: https://youtube.com/shorts/pC-fjd7pKBw?si=Vcu6kTrjXdT690gD
 
Rais wetu ni kiongozi mzalendo na mwenye mchungu mkubwa na Raslimali za Taifa letu na mwenye kiu ya kuona rasilimali zetu zinatufaidisha watanzania.
Ana machungu na kwao Kizimkazi ambako anasisitiza ijengwe bandari kubwa kwa hela za Tanganyika.

Unguja na Pemba matibabu ni bure kwa asilimia mia, gharama zao za matibabu zinalipiwa na FEDHA za Watanganyika.
 
Ungekuwa umeenda Ethiopia tungekuamini! Sasa unaleta picha tena?
Naona Ulaisi unakupeleka mbali.
 
Wakizinduka watabubujikwa na machozi kwakuwa hajawabakizia hata mstari mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…