Tazama namna Rais wetu akipitia nyaraka kwa umakini mkubwa wakati wengine wakionekana pichani wakisinzia huko Ethiopia

Nani kakuambia kufumba macho? Kwani wewe huoni kuwa kasinzia?
 
ishu sio kupitia Bali kuelewa
unaweza pitia na Ikawa ziro vilevile
 
Nani kakuambia kufumba macho? Kwani wewe huoni kuwa kasinzia?
Kwa watu ambao huwa tuna meditate hio pose inaweza kuonyesha umakini yaani unaondoa all disruptions zinazokusunguka yanabakia masikio ndio yanafanya kazi...; Nachotaka kukuonyesha ni kwamba picha kama hio inaweza ikatafsiriwa vyovyote vile hata unayesema ndio yupo tentative huenda ndio akaonekana anafanya yake badala ya kusikiliza
 
Hapo siyo Gest wala chumbani. Hapo ni mkutanoni
 
Hii nchi nina mashaka sana imevamiwa na wageni wengi, kuna mambo wanabisha kumpamba huyo maza enu mpaka unajiuliza hivi mtanzania anaweza fanya haya? Nadhani ile operation kimbunga ni muhimu CDF asisubiri maelekezo ya maza kunusuru hii nchi
 
Wivu tu ndio unakutesa
 
Yaani Mwashambwa unatabirika.
 
Uchawa ukizidi sana unakuwa kero Kwa jamii ya jamii forum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…