Tazama namna Rais wetu akipitia nyaraka kwa umakini mkubwa wakati wengine wakionekana pichani wakisinzia huko Ethiopia

Yanayofanywa Na CCM Mengi Yanatia Kinyaa
It is called DENiAL state (Psychiatric condition) , i.e you'r in a state in which you'r unable or unwilling to see the truth or reality about an issue or situation, but the good news is that, the condition is curable
 
Nani kakuambia kufumba macho? Kwani wewe huoni kuwa kasinzia?
Kama Rais wetu bado anaona vizuri ni jambo la kujivunia.. mimi huwa nafikiri hayo macho yake yaliyolegea km wadada wa Ubungo Riverside kuwa hawezi kuona vizuri...
 
Nani umemuona anasinzia hapo kama lile zombie lenu Wasira au na wewe una macho malegevu?
 
Atapata wapi muda wa kusinzia wakati ana mawazo ya madeni na kukosa misaada, plus Lissu
 
Kama Rais wetu bado anaona vizuri ni jambo la kujivunia.. mimi huwa nafikiri hayo macho yake yaliyolegea km wadada wa Ubungo Riverside kuwa hawezi kuona vizuri...
Umekosa malezi ya wazazi wako. Ndio maana unaropoka hovyo hovyo tu.
 
nakumbuka niliuza ufuta kilo sh 4000/= sikuwahi waza wala kufikiria🤝
 

So what?
 
Ipo siku Samia atatoka chooni kushusha kimba na team Mapambio mtapiga makofi na vigeregere 😔 sifa zikizidi sana zinakuwa ni matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…