Tazama namna Rais wetu akipitia nyaraka kwa umakini mkubwa wakati wengine wakionekana pichani wakisinzia huko Ethiopia

JPM pekee ndio alikuwa akipitia, bila kamera , na akaelewa kwa undani ndio maana alikuwa akigundua mengi
 
Samia mitano tena
 
Kuna mijitu inakera kwa kujipendekeza hadi unatamani kuliona sura yake limefananaje, kama lina sura ya kibinadamu kabisa au lipo kama guruwe pori!
 
Nimeamini kweli mbozi tuna kiazi
huna content za maana kila siku unaandika upuuzi tu
Ni hasara kwa Taifa!
 
Majizi yakipitia nyaraka. Wazazi wako waliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Shetani kama wewe ni Bora ufe haraka kwa mipango ya Mungu. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…