Kinachowafanya mpate jazba ikidaiwa tume huru ni nini?Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM na Rais wetu Mpendwa Mama Samia atapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Kwani Mbowe na Lissu walipita ubunge 2010 na 2015 kwa Tume ipi ya uchaguzi?Kinachowafanya mpate jazba ikidaiwa tume huru ni nini?
Huwezi ukaelewa maana akili na upeo wako ndipo umeishia hapo kuwaza utotoAlikuwa anajiwazia zake vileja alivyoviacha hotelini wewe unasema yupo makini.
Wakati huo tume ilikuwa na aibu kwa mbali, toka aingie dhalimu magufuli, na sasa mama wa kambo tume imekuwa machawa ww ccm waziwazi. Usidhani kama wakati akina Lisu wakiwa wabunge kuwa watu walikuwa na imani na hiyo tume maana bado ilipindisha matokeo mengi tu, kama sio wananchi wa maeneo hayo kujitoa muhanga bado wasingekuwa wabunge.Kwani Mbowe na Lissu walipita ubunge 2010 na 2015 kwa Tume ipi ya uchaguzi?
Acha porojo zako hapa wewe . Mbona Mbowe aliposema muandamane hamkutoa pua zenu kuandamana. Unajua kwanini hamkuandamana? Kwa sababu hata nyie mnajua kuwa katiba mpya siyo kipaombele cha watanzania na wala halijawahi kuwa hitaji la muhimu kwa watanzania. Lakini pia Tume ya uchaguzi haiwezi kukupa ushindi kama hujashinda . Sasa Ninyi CHADEMA hamna hata sera wala ajenda za kugusa Maisha ya watu . Ni vipi sasa atapata kura za ndio na kuungwa mkono na watanzania hawa ambao wana imani kubwa na CCM na ambao wameahidi kuipa ushindi CCM kila uchaguzi mpaka mwisho wa DuniaWakati huo tume ilikuwa na aibu kwa mbali, toka aingie dhalimu magufuli, na sasa mama wa kambo tume imekuwa machawa ww ccm waziwazi. Usidhani kama wakati akina Lisu wakiwa wabunge kuwa watu walikuwa na imani na hiyo tume maana bado ilipindisha matokeo mengi tu, kama sio wananchi wa maeneo hayo kujitoa muhanga bado wasingekuwa wabunge.
Naona unaandika ukhanithi mwingi ukidhani hayo matokeo ya kishenzi yanapotolewa tunakuwa hatujui ukweli. Ulitaka watu wakaandamane wakati polisi wameaigizwa kuwaua, mngetokea wanaccm mzuie cdm kuandamana na sio kuagiza polisi wenye silaha wakati wananchi hawana silaha. Tunapotaka tume huru ni ili uchaguzi halisi wa wananchi watakacho ili uje na huu upuuzi wako vizuri.Acha porojo zako hapa wewe . Mbona Mbowe aliposema muandamane hamkutoa pua zenu kuandamana. Unajua kwanini hamkuandamana? Kwa sababu hata nyie mnajua kuwa katiba mpya siyo kipaombele cha watanzania na wala halijawahi kuwa hitaji la muhimu kwa watanzania. Lakini pia Tume ya uchaguzi haiwezi kukupa ushindi kama hujashinda . Sasa Ninyi CHADEMA hamna hata sera wala ajenda za kugusa Maisha ya watu . Ni vipi sasa atapata kura za ndio na kuungwa mkono na watanzania hawa ambao wana imani kubwa na CCM na ambao wameahidi kuipa ushindi CCM kila uchaguzi mpaka mwisho wa Dunia
Kwa hiyo unaogopa kufa?Naona unaandika ukhanithi mwingi ukidhani hayo matokeo ya kishenzi yanapotolewa tunakuwa hatujui ukweli. Ulitaka watu wakaandamane wakati polisi wameaigizwa kuwaua, mngetokea wanaccm mzuie cdm kuandamana na sio kuagiza polisi wenye silaha wakati wananchi hawana silaha. Tunapotaka tume huru ni ili uchaguzi halisi wa wananchi watakacho ili uje na huu upuuzi wako vizuri.
Kufa sio sifa. Ndio maana nataka wapinzani wakitangaza kuandamana kwakuwa hawana silaha, nyie wanaccm mjitokeze kuwazuia, kisha ww na mama Samia mkae mbele tuone jeuri yenu. Baada ya hapo kitakachokupata uone utachukua muda gani kuja kupost haya mashudu yako unayopost hapa.Kwa hiyo unaogopa kufa?
Hahahahaa! Aisee, maisha ya uchawa ni magumu sana. Yaani hata akinya lazima tu useme tazama anavyokunya vizuri. Yaani, mtihani mkubwa sana. Ila kwakuwa mtu anakuwa kaamua maisha yake ni hivyo, sawa tu. Hongera sana Lucas Mwashambwa, kazi nzuriNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika tuna Rais Imara,kwa hakika Ikulu yetu Imepata Mtu Makini,shupavu , madhubuti,imara,hodari na Mwenye Utimamu wa Akili na Mwili. Tanzania tumepata Neema ya kuwa na Rais Anayejua nini anapaswa kufanya katika kuwakilisha Taifa letu .
Tumepata Neema na upendeleo wa kuwa na Rais Ambaye anajua wajibu wake na majukumu yake katika kutetea na kulinda Maslahi na heshima ya Taifa letu. Huyu Mama kwa hakika ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Siyo Binadamu wa kawaida . Ni mtu na Nusu. Anafanya kazi kwa umakini Utafikiri kafungiwa Mfumo wa kompyuta kichwani mwake.
Huwezi ukaona Rais wetu akizubaa zubaa awapo katika vikao muhimu na vya kimkakati.muda wote utaona Akipitia nyaraka neno kwa neno na kurasa moja baada ya nyingine. Ndio sababu hapitwi na jambo lolote lile,ndio maana Tanzania tumefaidika na mengi sana wakati huu wa uongozi wake.
Ndio maana Ushawishi wa Tanzania umeongezeka sana Duniani kwote ,ndio maana ya Mama yetu kuorodheshwa kuwa Miongoni Mwa wanawake mia moja wenye ushawishi na nguvu zaidi Duniani Kwote.
Embu Tazama kwa umakini pichani Rais wetu akiwa katika mkutano huko Addis Ababa Ethiopia akiwa makini akipitia nyaraka zake kurasa baada ya kurasa na neno baada ya neno kwa umakini wa hali ya juu sana. Lakini pia angalia mkono wa kulia wa Mama yetu kipenzi uone nini anakifanya huyo Mwingine.
Kama una macho mazuri yasiyo na upofu wa aina yoyote ile au matatizo ya aina yoyote ile utagundua kuwa huyo Mwingine pembeni ya RAIS wetu kipenzi anasinzia na wala hana habari na hizo nyaraka zilizopo mezani pake. Lakini ukitupa jicho kwa nyuma hapo unaona kuna mwingine yupo Bize na simu yake. Na wengine ni kama hata hawajui kama kuna karatasi na nyaraka wanazopaswa kuzipitia mezani pao kabla ya kuanza na kutoa michago yao.
Hapo ni lazima utegemee Rais wetu Mpendwa kuwa na mchango chanya na wenye tija na wenye kujenga kwelikweli,huku wengine wakiamka usingizini watakuja kuunga tu mkono hatuba na hoja za Mama yetu Mpendwa. Hii ndio maana Tanzania kwa kipindi hiki hatuwezi kuburuzwa na mtu yeyote yule kwa sababu tuna Rais na kiongozi makini na mwenye kuzungukwa na watu makini ambao wote wanakesha usiku na mchana kupigania maslahi ya Taifa letu na ustawi wa watanzania.
Kwa hakika CCM Imewapa kile watanzania wanahitaji katika mioyo yao . Imewapatia chaguo bora sana katika uchaguzi ujao.View attachment 3237142View attachment 3237143
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyo Lucas atajulia wapi hayo wakati shule hamna, ni kulamba makalio tuuu.Salva Kiir, hasinzii ila yuko kwenye mode ya critical thinking, inakuwa kama ni meditation but very alert
lucas-mwashambwa, ni msomi ana comprehend nilichoaandikaHuyo Lucas atajulia wapi hayo wakati shule hamna, ni kulamba makalio tuuu
Umeandika kitu cha aibu sana na chenye kuonyesha utoto uliokujaa kichwani mwakoHuyo Lucas atajulia wapi hayo wakati shule hamna, ni kulamba makalio tuuu.
Vip ile ya bandar nayo aliipitia kwa umakin hiv au alilala kama wenzieNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika tuna Rais Imara,kwa hakika Ikulu yetu Imepata Mtu Makini,shupavu , madhubuti,imara,hodari na Mwenye Utimamu wa Akili na Mwili. Tanzania tumepata Neema ya kuwa na Rais Anayejua nini anapaswa kufanya katika kuwakilisha Taifa letu .
Tumepata Neema na upendeleo wa kuwa na Rais Ambaye anajua wajibu wake na majukumu yake katika kutetea na kulinda Maslahi na heshima ya Taifa letu. Huyu Mama kwa hakika ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Siyo Binadamu wa kawaida . Ni mtu na Nusu. Anafanya kazi kwa umakini Utafikiri kafungiwa Mfumo wa kompyuta kichwani mwake.
Huwezi ukaona Rais wetu akizubaa zubaa awapo katika vikao muhimu na vya kimkakati.muda wote utaona Akipitia nyaraka neno kwa neno na kurasa moja baada ya nyingine. Ndio sababu hapitwi na jambo lolote lile,ndio maana Tanzania tumefaidika na mengi sana wakati huu wa uongozi wake.
Ndio maana Ushawishi wa Tanzania umeongezeka sana Duniani kwote ,ndio maana ya Mama yetu kuorodheshwa kuwa Miongoni Mwa wanawake mia moja wenye ushawishi na nguvu zaidi Duniani Kwote.
Embu Tazama kwa umakini pichani Rais wetu akiwa katika mkutano huko Addis Ababa Ethiopia akiwa makini akipitia nyaraka zake kurasa baada ya kurasa na neno baada ya neno kwa umakini wa hali ya juu sana. Lakini pia angalia mkono wa kulia wa Mama yetu kipenzi uone nini anakifanya huyo Mwingine.
Kama una macho mazuri yasiyo na upofu wa aina yoyote ile au matatizo ya aina yoyote ile utagundua kuwa huyo Mwingine pembeni ya RAIS wetu kipenzi anasinzia na wala hana habari na hizo nyaraka zilizopo mezani pake. Lakini ukitupa jicho kwa nyuma hapo unaona kuna mwingine yupo Bize na simu yake. Na wengine ni kama hata hawajui kama kuna karatasi na nyaraka wanazopaswa kuzipitia mezani pao kabla ya kuanza na kutoa michago yao.
Hapo ni lazima utegemee Rais wetu Mpendwa kuwa na mchango chanya na wenye tija na wenye kujenga kwelikweli,huku wengine wakiamka usingizini watakuja kuunga tu mkono hatuba na hoja za Mama yetu Mpendwa. Hii ndio maana Tanzania kwa kipindi hiki hatuwezi kuburuzwa na mtu yeyote yule kwa sababu tuna Rais na kiongozi makini na mwenye kuzungukwa na watu makini ambao wote wanakesha usiku na mchana kupigania maslahi ya Taifa letu na ustawi wa watanzania.
Kwa hakika CCM Imewapa kile watanzania wanahitaji katika mioyo yao . Imewapatia chaguo bora sana katika uchaguzi ujao.View attachment 3237142View attachment 3237143
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani wewe huoni matunda ya uwekezaji wa pale Bandarini? Au upo bado usingizini?Vip ile ya bandar nayo aliipitia kwa umakin hiv au alilala kama wenzie
Umesoma ripoti ya cag lakinKwani wewe huoni matunda ya uwekezaji wa pale Bandarini? Au upo bado usingizini?
Epuka kujadili wakuu wa nchi kama unazungumza na mashoga wenzio kina Mwijaku.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika tuna Rais Imara,kwa hakika Ikulu yetu Imepata Mtu Makini,shupavu , madhubuti,imara,hodari na Mwenye Utimamu wa Akili na Mwili. Tanzania tumepata Neema ya kuwa na Rais Anayejua nini anapaswa kufanya katika kuwakilisha Taifa letu .
Tumepata Neema na upendeleo wa kuwa na Rais Ambaye anajua wajibu wake na majukumu yake katika kutetea na kulinda Maslahi na heshima ya Taifa letu. Huyu Mama kwa hakika ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Siyo Binadamu wa kawaida . Ni mtu na Nusu. Anafanya kazi kwa umakini Utafikiri kafungiwa Mfumo wa kompyuta kichwani mwake.
Huwezi ukaona Rais wetu akizubaa zubaa awapo katika vikao muhimu na vya kimkakati.muda wote utaona Akipitia nyaraka neno kwa neno na kurasa moja baada ya nyingine. Ndio sababu hapitwi na jambo lolote lile,ndio maana Tanzania tumefaidika na mengi sana wakati huu wa uongozi wake.
Ndio maana Ushawishi wa Tanzania umeongezeka sana Duniani kwote ,ndio maana ya Mama yetu kuorodheshwa kuwa Miongoni Mwa wanawake mia moja wenye ushawishi na nguvu zaidi Duniani Kwote.
Embu Tazama kwa umakini pichani Rais wetu akiwa katika mkutano huko Addis Ababa Ethiopia akiwa makini akipitia nyaraka zake kurasa baada ya kurasa na neno baada ya neno kwa umakini wa hali ya juu sana. Lakini pia angalia mkono wa kulia wa Mama yetu kipenzi uone nini anakifanya huyo Mwingine.
Kama una macho mazuri yasiyo na upofu wa aina yoyote ile au matatizo ya aina yoyote ile utagundua kuwa huyo Mwingine pembeni ya RAIS wetu kipenzi anasinzia na wala hana habari na hizo nyaraka zilizopo mezani pake. Lakini ukitupa jicho kwa nyuma hapo unaona kuna mwingine yupo Bize na simu yake. Na wengine ni kama hata hawajui kama kuna karatasi na nyaraka wanazopaswa kuzipitia mezani pao kabla ya kuanza na kutoa michago yao.
Hapo ni lazima utegemee Rais wetu Mpendwa kuwa na mchango chanya na wenye tija na wenye kujenga kwelikweli,huku wengine wakiamka usingizini watakuja kuunga tu mkono hatuba na hoja za Mama yetu Mpendwa. Hii ndio maana Tanzania kwa kipindi hiki hatuwezi kuburuzwa na mtu yeyote yule kwa sababu tuna Rais na kiongozi makini na mwenye kuzungukwa na watu makini ambao wote wanakesha usiku na mchana kupigania maslahi ya Taifa letu na ustawi wa watanzania.
Kwa hakika CCM Imewapa kile watanzania wanahitaji katika mioyo yao . Imewapatia chaguo bora sana katika uchaguzi ujao.View attachment 3237142View attachment 3237143
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Embu Toa ujinga wako hapa Wewe. Kuna NCHI wananchi wake walimtuma Rais wao Akasinzie huko ? Unajua kuwa mamlaka yote ya viongozi yanatoka kwa wananchi?Epuka kujadili wakuu wa nchi kama unazungumza na mashoga wenzio kina Mwijaku.
Unataka kupitiliza bwana mdogo!!
Kwanini huandamani yakitangazwa Maandamano? Kwanini unaogopa kufa kutetea unachokiamini? Je hutakufa siku moja hata usipoandamana? Wewe si huwa unajifanya huogopi kitu? Sasa unataka nani waandamane kwa niaba yako wewe?Kufa sio sifa. Ndio maana nataka wapinzani wakitangaza kuandamana kwakuwa hawana silaha, nyie wanaccm mjitokeze kuwazuia, kisha ww na mama Samia mkae mbele tuone jeuri yenu. Baada ya hapo kitakachokupata uone utachukua muda gani kuja kupost haya mashudu yako unayopost hapa.
Ya lini.Umesoma ripoti ya cag lakin