Tazama picha 10 za jamaa aliyeangua kilio kikubwa kisa ataka kupiga picha na Diamond Platnumz

Tazama picha 10 za jamaa aliyeangua kilio kikubwa kisa ataka kupiga picha na Diamond Platnumz

soon raia wengi wataanza kustukia huu mchezo kama ulivyoanza kuustukia wewe!......leaders msiba wa kanumba alipanga watu wakumpigia yowe!....kundi lake hilo linaongozwa na mchizi mmoja ambaye pia yupo katika kikundi cha ushangiliaji wa timu ya AZAM F.C.........idea za babu tale hizi!
mkuu unajua kumeintein uselebrity ni kazi ngumu sana,

hata huyu wema kwenda GPL kufanya fujo nako najua ni mipango tu, hakuna zaidi!
 
Na utakuta hata kwenye msiba hua halii kabisa mchizii
Falaa kabisaa mamaeeee kilichomlizaa ni kipi sasa hapo akiombwa atatosa aisee kawaibishaa wanaume wenzieee

Ahahahaaaaaaa we ni hataree,kweli hapo akiambiwa ainame ni fasta anaokota karanga.
 
Yaani huyu angekuwa ndugu yangu ningempa kichapo cha haja...bado sijaona kwa Tanzania celebrity wa kukufanya umuone utoe machozi ....
Ingawa nawarespect kwa kazi zao wanazofanya!
 
mkuu unajua kumeintein uselebrity ni kazi ngumu sana,

hata huyu wema kwenda GPL kufanya fujo nako najua ni mipango tu, hakuna zaidi!

Hata mi nahisi utakuwa mpango tu maana hata wema sepetu Kwenye kipindi chake eti kuna Mtoto alikuwa anashinda getini kumsubiria amuone tu ...
There 's sick people on this world.
 
Yaani pamoja na kuonekana daily ktk magazeti ya udaku bado anammiss domo kiasi hicho. Wana lao jambo sio bure
 
Da dume zima linamwaga chozi kwa shababi mwenziwe,jamaa amemuaibisha demu wake sana.
 
Hamna si magonjwa ya hakili ni mapenzi au upendo tu.

Mimi nishaona watu wakilia wengi sana kwenye show ya beyonce, Maria etc.

Na nishaona wasichana wengi wakipiga pull kwenye show za snoopy doggy etc baada ya kulainika na mistari.

Yani ni upendo tu si magonjwa ya hakili. Kwa mambele ni kawaida sana tatizo la Tanzania mnazarau macelebrity.

Uliona kwenye DVD ya UP IN SMOKE TOUR au?
 
Back
Top Bottom