Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Kwa wale wataalamu wa magonjwa ya akili wanaweza kutusaidia hili.
hahahahahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wale wataalamu wa magonjwa ya akili wanaweza kutusaidia hili.
mkuu unajua kumeintein uselebrity ni kazi ngumu sana,soon raia wengi wataanza kustukia huu mchezo kama ulivyoanza kuustukia wewe!......leaders msiba wa kanumba alipanga watu wakumpigia yowe!....kundi lake hilo linaongozwa na mchizi mmoja ambaye pia yupo katika kikundi cha ushangiliaji wa timu ya AZAM F.C.........idea za babu tale hizi!
Na utakuta hata kwenye msiba hua halii kabisa mchizii
Falaa kabisaa mamaeeee kilichomlizaa ni kipi sasa hapo akiombwa atatosa aisee kawaibishaa wanaume wenzieee
mkuu unajua kumeintein uselebrity ni kazi ngumu sana,
hata huyu wema kwenda GPL kufanya fujo nako najua ni mipango tu, hakuna zaidi!
Kwa muziki gani wa ajabu?
Hamna si magonjwa ya hakili ni mapenzi au upendo tu.
Mimi nishaona watu wakilia wengi sana kwenye show ya beyonce, Maria etc.
Na nishaona wasichana wengi wakipiga pull kwenye show za snoopy doggy etc baada ya kulainika na mistari.
Yani ni upendo tu si magonjwa ya hakili. Kwa mambele ni kawaida sana tatizo la Tanzania mnazarau macelebrity.
Uliona kwenye DVD ya UP IN SMOKE TOUR au?
na huyu nae ana mwanamke?
Habari yko kaka mkuu.