Tazama picha 10 za jamaa aliyeangua kilio kikubwa kisa ataka kupiga picha na Diamond Platnumz

Tazama picha 10 za jamaa aliyeangua kilio kikubwa kisa ataka kupiga picha na Diamond Platnumz

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


HIKI NDO ALICHOKISEMA DIAMOND KUHUSANA NA TUKIO HILO
Usiku uliopita umekuwa ni usiku wa furaha kwangu,baada
ya dada angu kuzindua video yake ya WANATETEMEKA
kwa,mafanikio makubwa..lakin tukio la huyu kijana
aliyeangua kilio akishinikiza anione
na kupiga picha,ni tukio ambalo limenionesha ni kiasi gani nina
watu out there walio upande wangu,watu
wanaonipenda kwa dhat kabisa.
nikiwa backstage
kulikokuwa kumejaa kidogo,alijitokeza kijana huyu
ambae
bahat mbaya sikuweza kumwona mapema..
mpaka niliposkia akilia,alikuwa akishinikiza
apewe nafasi ya kuniona na kupiga picha,but kulingana
na utaratibu wa kiusalama mlinzi alimzuia na ndipo
alipoanza kulia mfululizo..na hata alipopata
nafasi tukaonana na kupiga picha ni kama nilimwongeza spiidi ya kuendelea kulia
mpka mda wangu wa kupanda stejini ulipofika..
nilipomaliza show na kurudi garini tayari kwa
kuondoka alinifata akiwa na ombi lile lile,kupiga
picha nilishuka nikazungumza nae kisha tukapiga picha na kuagana ....!!
NAWAPENDA SANA MASHABIKI WANGU
Backstage.furaha iliporudi, baada ya kuonana nae na kupiga picha wote
Nikijaribu kumbembeleza
akimpa mkono,lakini hii haikuwa shida yake,alitaka wapige picha tena



Ilibidi Diamond ashuke kabisa kwenye gari ,akazungumza
nae nakupiga picha ndipo akatulia

Akielezea furaha yake na sababu ya kufanya vile
 
Kwa wale wataalamu wa magonjwa ya akili wanaweza kutusaidia hili.

Hamna si magonjwa ya hakili ni mapenzi au upendo tu.

Mimi nishaona watu wakilia wengi sana kwenye show ya beyonce, Maria etc.

Na nishaona wasichana wengi wakipiga pull kwenye show za snoopy doggy etc baada ya kulainika na mistari.

Yani ni upendo tu si magonjwa ya hakili. Kwa mambele ni kawaida sana tatizo la Tanzania mnazarau macelebrity.
 
Museven ana kazi sana katika harakat zake

Tatizo lako unawaza 0713 muda wote. Tena uko uganda watu wanapenda sana wasanii wao wakipita na gari lazima wawakimbilie.

Simanishi tuwe mazoba au tulie bali maamuzi ya watakaoamua kulia yaachwe tusiwatukane kila mtu na upendo wake kwa msanii wake
 
Dah ila huyu ajavunja rekodi ya kulia kama yule shabiki wa Yanga....
 
Kwa wale wataalamu wa magonjwa ya akili wanaweza kutusaidia hili.
Mizuka hiyo ila watu tunatofautiana sana aaaaaah mimi kama mimi kumkubali mtu kiivy😵nly for God not human.
 
hakuna maigzo hapo thts real sema kbongobongo wa2 wataongea maneno meng coz ce huwa ha2kubal vya kwe2
 
mbona kawaida tu,hata show za Michael Jackson watu walikuwa wakilia na kuzimia wengine wanalilia awashike tu mikono
 
Na utakuta hata kwenye msiba hua halii kabisa mchizii
Falaa kabisaa mamaeeee kilichomlizaa ni kipi sasa hapo akiombwa atatosa aisee kawaibishaa wanaume wenzieee
 
Ingekua mbele angemwagiaa madolaa lakin hapo kaishia kupiga picha na kunukishiana kikwapa na Diamond
 
Kwa wale wataalamu wa magonjwa ya akili wanaweza kutusaidia hili.

Kabla sijauliza swali langu nakuta ushaniwakilisha swahiba natamani wale wa JF Doctor waje waseme kitu hapa nimecheka sana
 
JF bhana,ilibidi nicheke tu....huyu anaelia ni mmoja wapiga kura 2015,tafakali...
 
Ingekua mbele angemwagiaa madolaa lakin hapo kaishia kupiga picha na kunukishiana kikwapa na Diamond

Huyo jamaa amesetiwa na domo! Ameiga style ya baadhi ya wachungaji watu wanajiangusha na kulia hakuna lolote! Domo nae muongo sana siku hizi! Hana lolote.
 
hii sio man made incident kweli?

siku hizi siwaamini hawa masupastaa jamani!!

soon raia wengi wataanza kustukia huu mchezo kama ulivyoanza kuustukia wewe!......leaders msiba wa kanumba alipanga watu wakumpigia yowe!....kundi lake hilo linaongozwa na mchizi mmoja ambaye pia yupo katika kikundi cha ushangiliaji wa timu ya AZAM F.C.........idea za babu tale hizi!
 
Back
Top Bottom